Hollyreath
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 126
- 12
habari wadau. simu yangu ghafla tu imekata network. pale kwenye network bar imeweka alama ya x. nimejaribu kusearch network inaniambia. error in searching network .. msaada tafadhali
Sure thing ...angalia kama mfuniko wa chini upo