Hollyreath
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 126
- 12
Habari wadau,
Naomba kujua ni kipimo gani kinafanywa kugundua tatizo la appendix/kidole tumbo. Na gharama yake.
Gharama za upasuaji
Na hospital ipi ni nzuri kwa mkoa wa Arusha kutibiwa tatizo hilo