Search results

  1. terasy

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Mbeya Mimi naishi Ilomba mtaa wa ituha saiv Kuna tatizo la umeme ni week saiv hatuna umeme mchana Wala usiku tunaomba msaada wenu na biashara haziendi kabisaa nimepiga sana cm haipokelewi 0762478938
  2. terasy

    Kuna mtu kapata kazi ya kukusanya anwani bila mchongo?

    Kijiji gan hicho Nije fasta maaani mi nmekosa had vijijin
  3. terasy

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Ningeipata hii Safi sana tatizo ipo mbali
  4. terasy

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Namba ya taarifa niliipata jumatano usiku baada ya kupiga simu kwa muda mrefu nlipojaribu usiku ndo ikapokelewa ila tangia nmepewa hyo no nikpiga simu kuwakumbusha haipokelewi na wakat mwingine haipatikani kabisa. No yenyew hii +255252504219
  5. terasy

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mkoa wa mbeya simu hazipokelew napiga simu had nachoka. Umeme hauwak nyumban siku ya tano leo lakini kwa majirani ambao tunatumia nguzo moja unawaka, pia unit zipo na socket breaker ipo vizur nahitaji msaada wa haraka leo siku ya tano bila umeme JINA ATU TETE ENEO ISYESYE KARIBU NA MWAKASOLE...
  6. terasy

    Fursa inawezekana kwa mtaji mdogo wa Tsh 25,000 ukapata faida ya Tsh 50,000 per day

    Ok nashukuru sikuwa online nitakutafuta j4 baada ili nipafaham then iwe rahisi kwenda j3 coz Nina muda wa kutosha tu
  7. terasy

    Fursa inawezekana kwa mtaji mdogo wa Tsh 25,000 ukapata faida ya Tsh 50,000 per day

    Siku unayokwenda kuchukua tafadhali nielekeze nipate kuchukua pia
  8. terasy

    Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Mi niliagiza mkoba kikuu nililetewa kimkoba kibaya na hakuna ubora kabisa tofauti na waloweka kwenye picha sina hamu na kikuu mimi
  9. terasy

    Fursa inawezekana kwa mtaji mdogo wa Tsh 25,000 ukapata faida ya Tsh 50,000 per day

    Nataka nifanye biashara hii nahitaji kujifunza kutoka kwako ni wap pa kuchukua mZigo na jinsi ya kutafuta soko nipo mbeya pia nitashukuru iwapo utanipa support
  10. terasy

    Kutokupata wateja kuanzia asubuhi hadi jioni baadhi ya siku

    Tena mimi nauiuza hawataki kununua
  11. terasy

    Ni vitu vya aina gani unaweza kufanya ukatengeneza pesa kupitia mtandao au online kupitia smartphone yako

    Nahitaji kujifunza zaidi yaani sijui chochote na mtaji ni kiasi gani
  12. terasy

    Kama hujawahi kutaja neno "mkuu" hapa JF njoo uchukue million

    Yangu hiyo nitumie Kwa no. 0622 narudi kumaliza no. nasubiri ushahidi
  13. terasy

    Nimeshangaa mahindi ya kutengeneza popcorn yanatoka nje

    Nahitaji aniuzie kwa bei ya jumla mie nauza rejareja mfikishie huu ujumbe
  14. terasy

    Nafasi za kazi new force enterprises ltd

    Mi naomba ya kukata tiketi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. terasy

    Mama wa Kizungu vs Mama wa Kiafrika

    Duu jicho tu linafkisha ujumbe
  16. terasy

    Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

    Hapana ndugu nilitaka kufanya hyo ila nikashndwa kutokana na kukosa ujuzi saiv nipo na Mishe nyingine
  17. terasy

    Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

    Naomba kwa anayefahamu jinsi ya kutengeneza juice ya strawberry anielekeze, ni kwaajili ya biashara.
Back
Top Bottom