Search results

  1. makaveli10

    "Manipulated Man" kiatabu cha Ester Vilar. Je, umekisoma?

    Msea kweli Msema kweli ni mpenzi wa mungu 🤣😂
  2. makaveli10

    JWTZ badilikeni, Ulinzi wa miaka hii ni wa kutumia akili siyo maguvu ya kubeba kilo 70

    Hapo nimeoa ni makomando, hebu jaribu kucheki na makomando wa wenzetu, nadhani nao watakuwa hivyo hivyo. Kuhusu suala la silaha bora, shidani serikali yetu, elimu duni, pesa wananunulia mavieite.
  3. makaveli10

    Magdalena Shauri Ashinda Medali ya Dhahabu, Shanghai, China

    Utasikia pongezi na shukurani ziende kwa mama SULUHU 🤣
  4. makaveli10

    Kwanini mwanaume mwenye wake wengi halali nao sehemu moja?

    Ungeoa wake wawili halafu ndio ungejua. Ulale na mama mwajuma, anataka ukuni, halafu kidawa hana mpango na yupo kwenye siku zake, umejiuliza hilo? Sawa uwagonge wote, si vema wao kutizamana maumbile yao, haipendezi, wanawake wenye akili zao timamu hawawezi kubali.
  5. makaveli10

    Yajue ya Tanga Mjini na maajabu yake

    Mnazi uliokomaq vizuri, unaweza kuvuna kila baada ya miezi mi3 we unavuna zile kavu kabisa, zilizokomaa vizuri saaana(kavu, hii mara nyingi ukiifua huwa na rangi kama ya kahawia isiyokoza au tuite brown ) unaacha zile ambazo hazijakomaa vizuri(mkwezi mzuri kule juu anajua hii imekomaa(kavu) na...
  6. makaveli10

    Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

    Kabla ya kumkata makofi huenda talaka ikawa imeanza, sitamani tufikie hatua ya kutwangana. Yes kuna maudhi fulan huwa yanatokea, una gadhibika, dawa mie huwa ni kuondoka tu eneo hilo. Niliwahi mpiga girlfriend sababu ilikuwa kanikera nataka nitoke na akanizuia, hakuna kutoka😂 Uzuri mke wangu...
  7. makaveli10

    Anthony Mavunde: Watu 34 wamehodhi eneo lenye ukubwa mara 12 ya Dar es Salaam

    Kiume zaidi awataje, hizo nyingineni TAARAB tu.
  8. makaveli10

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Janabi ni NDEZI, nilsikia eti juice sijui kimeenda kumerudi. Mie nasoma vitu mbalimbali kisha nairuhusu akili yangu ifanye kazi. Mie juice nagonga kama kawa kama dawa.
  9. makaveli10

    Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

    Sijui kama ipo siku nitachapa makofi mke wangu, Mungu aniepushe nisifikie huko.
  10. makaveli10

    Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

    Nilisema ukisoma maelezo ya boni yai kisha kamanda, ni rahisi sana kusolve ile equation.
  11. makaveli10

    Waziri Jelly Silaa ana kitu, atafika mbali, abarikiwe

    Sina shida ya yeye kama anachapa kazi, ila hakuna haja ya kusaka "cheap popularity" mara afanye kazi mbele ya kamera, kazi zake njema zitajitangaza haina haja kutangaza tangaza
  12. makaveli10

    Naomba ufafanuzi kuhusu size ya hii Aluminium foil

    Jaribu, utanipa jibu. Chukua simu yako ikiwa on, iviringishe kwenye foil, vingirisha vizuuuri kabisa, halafu ipige, simu haipatikani ng'oooo
  13. makaveli10

    Naomba ufafanuzi kuhusu size ya hii Aluminium foil

    Nje ya mada kidogo.. kama hujui, ujue Ukiweka simu kwenye foil, ukazungusha vizuri kabisa, ukiipigia haipatikani CHUKUA HIYO
  14. makaveli10

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    Mtaharibu biashara zao za mafuta, na soon wakiona sote tushakimbilia huko, gesi nayo bei itapanda, tozo za ajabu ajabu, mtaambiwa vita ya urusi na ukraine ni sababu.
  15. makaveli10

    Ipi ni fasaha kati ya 'Njozi' na 'Njonzi'?

    Fasaha kwenye nini, yote ni maneno ya kiswahili maana tofauti tofauti.
  16. makaveli10

    Wapinzani wana nia ya kuwagawa wananchi suala la Muungano

    Nikienda zanzibar nikabeba hata tv tu ya zawadi bandarini mtihani, nivushe gari ndio mama yangu wee tabu tupu, lakini nikienda dodoma hapo au kule kigoma sipati tabu, raha ya muungano iwapi? Wengine wanadai mbara huwezi kumiliki ardhi kule kizembe kama tunavyojinunulia huku, dar una kibanda...
  17. makaveli10

    Wakuu wa wilaya na Mkesha wa Muungano, watakesha na akina nani? Wasiwasumbue watumishi wa Umma

    Iwe kituko mara ngapi, hii nchi ni kituko, Kuna jamaa humu ana kamsemo kake huenda mbinguni nchi hii ni chanel ya komedi.🤣
  18. makaveli10

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Inabidi wapimwe mkojo 🤣
  19. makaveli10

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Ndio NILIVYOKUWA. Zamani huko. Siku hizi sina hizo mambo kabisa, mama watoto kaishaniweka wenye chupa, sina makali.😂🤣 Wanawake wengine woote naona ni mama na dada zangu 😂
  20. makaveli10

    Ney wa Mitego kawatolea ngoma ''Kataa ndoa''

    Kia mtu na maisha yake, katu siwezi poteza nguvu zangu kumuaminisha mtu jambo, sio ndoa, sio dini, sio chochote.
Back
Top Bottom