Search results

  1. M

    Mo Foundation ni Matapeli namba yangu ila

    ๐™ณ๐šž๐šž๐šž๐šž๐šž ๐š”๐šž๐š–๐š‹๐šŽ ๐š‘๐šŠ๐š ๐šŠ ๐š“๐šŠ๐š–๐šŠ๐šŠ ๐š”๐šž๐š—๐šŠ ๐š ๐šŠ๐š—๐šŠ๐š˜ ๐š ๐šŠ๐š”๐šŠ๐š–๐šŠ๐š๐šŠ ๐“๐“ฌ๐“ฑ๐“ฎ๐“ท๐“ฒ ๐“พ๐“ณ๐“ฒ๐“ท๐“ฐ๐“ช
  2. M

    Picha: Kama tutatumia akili zetu vizuri, tunaweza kuwa na makazi bora ya kuishi kwa gharama nafuu sana

    Usihangaike kujenga agiza nje utapokea kwa bei poa . Nyumba kama hiyo ukiagiza haiwezi kuvuka milioni kumi ikiwa full ingia albaba utaona kuna kampuni nyingi sana wanauza nyumba kama hizo unaagiza na wewe una fanya installation tu. kwa Dunia ya sasa nchi za wenzetu hayo ni mambo ya kawaida...
  3. M

    Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Acha pombe wewe Makonda hana akili ya kuongoza watu ila ana akili ya kuongoza wajinga wajinga
  4. M

    Wazo makini: 'BlackBox Education' ni mtego wa kifo cha Tanzania na Africa

    Umenena ukweli tupu kwa sababu unamkuta mwalimu wa chemistry anafundisha electrolysis lakini hajui hata kutengeneza battery kwa kutumia local mateals kama chumvi na electrode alizo nazo
  5. M

    Kama unajitafuta nje ya Dar es salaam, sahau kuhusu utajiri

    Duuuu huu msisitizo wa mwisho mpaka roho inauma kwa sisi tunao fanya kazi ya halmashauri
  6. M

    Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

    Upo sahihi mkuu lakini bado una matumizi mabaya ya pesa elfu kumi kwa siku peke yako?
  7. M

    Bigup kwa watu wote walioacha ajira za halmashauri na kufanya mishe zao, Mungu atawapigania

    Brother unavyo itamka milioni kumi na tano unaitamka kama pesa ndogo sana shida ipo kwenye kuikusanya mpaka ifike hiyo milioni kumi na tano. Pili kuna dogo mmoja nimesoma naye shule moja ya msingi maalufu kama Rickius Babylon, baake alikua mwalimu wa shule ya msingi. Tulipotezana siku nyingi...
  8. M

    Biashara ya Bucha/duka la nyama mbichi ya ng'ombe Katoro

    Nenda kwa tahadhali sana mkuu miongoni mwa miji iliyo jaa wafanya biashara matapeli na washamba wanao jiona wajanja ni pamoja na Katoro. Ukanda ule elimu kwa sababu ilichelewa kufika sana watu wengi sana katika biashara yao wanaamini sana katika ushirikina na sio kuboresha biashara. Ni kweli ni...
  9. M

    Upigaji mpya wa fedha za wazazi jijini Arusha Kamati za Wazazi Shule za Serikali

    Ukitazama kwa juu juu bila kutafakari unaweza ukkahisi ni upigaji kama unavyo sema lakinj katika hali halisi tafakali mambo yafuatayo; Mwanao anaondoka nyumbani saa kumi na mbili na nusu asubuhi kwenda shuleni ambako atakaa mpaka saa kumi na nusu jioni akisoma wakati huo hajanywa hata chai wala...
  10. M

    Nimefedheheka sana na kuamua kuzima Runinga. Yaani walimu wanatumika kisiasa kumpigia kampeni Rais Samia 2025! Huku wamejaa dhiki

    Naamini kuna kazi unayo fanya na inaakuingizia kipato chako halali hata sisi pia tunafanya kazi hii ya ualimu na tunalipwa hiki kiasi unacho kiita kidogo, pamoja na udogo wa kiasi hiki tunaendesha maisha vizuri tuna familia zinatutegemea, tunasomesha watoto na tunasaidia ndugu zetu . Kama Mungu...
  11. M

    Nimefedheheka sana na kuamua kuzima Runinga. Yaani walimu wanatumika kisiasa kumpigia kampeni Rais Samia 2025! Huku wamejaa dhiki

    Kitando usicho lala huwezi kujua kunguni wake hivyo kwa kua wewe sio mwalimu tulia na nyamaza hujui shida na dhiki tulizo pitia kipindi cha mwendazake
  12. M

    Natafuta mume wa kunioa

    unaonekana kua mke bora kwa maelezo ya awali nisijue undani
  13. M

    Nahitaji mume

    Ulijuaje kwamba hayupo sereous?
  14. M

    Jupiter kuwa karibu zaidi na Dunia siku ya leo 26 Septemba, 2022

    Nikukumbushe tu kua sio umbali wa kilometer milioni ni umbali wa kilometer nusu bilioni. Ingetokea jupiter ikaisogelea dunia kwa umbali wa kilometer milioni moja utaina ikiwa kubwa sana kuliko kitu kingine chochote angani hata kuliko mwezi. Kumbuka kutoka duniani kwenda kwenye mwezi ni wastani...
  15. M

    Natafuta mume wa kujenga naye familia

    Upo mkoa gani?
  16. M

    Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

    Umeongea mambo ya msingi boss Kuna watu tumeamua kuacha familia kwa sababu ya mwanamke kufanikiwa kuwa na kipato kikubwa na kujitanua kwapa Japo wanawake wengi wasio kua na heshima katika ndoa zao akiisha achika akaolewa tena familia mpya wanazo jenga hata paka kamwe hakanyagi
Back
Top Bottom