Search results

  1. J

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Karma never losses an address Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    Would you consider naming your kids after a place?

    Viena, Amsterdam, Brussel, Mogadishu,Tel Avi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. J

    Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

    Mkuu nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna watu wanona wamepatia maisha hasa wanaokaa seat za mbele kwenye daladala
  4. J

    Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

    Hahaha usicheke kuna wanawake pasua vichwa ujue
  5. J

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kura ndio huamua mshindi
  6. J

    Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

    Sifa kuu ya mwanamke awe submissive sina maana ya kuwa zoba eti kila anachoambiwa aseme Yes, but awe msikivu ,mpole mwenye kuheshimu mume, sasa hayo wasomi wengi hawawezi wanafikiri kumtii mume ni kunyanyasika! Wengi wao kila kitu anajifanya ujuaji , ubishi, sasa nani aoe mtu wa hivyoo! Raha ya...
  7. J

    Kama Dunia inazunguka jua kwa Spidi kubwa kwanini vyombo vilivyo nje ya dunia haviachwi?

    Isijizungushe ktk muhimili wake na wala isizunguke jua yani rotation na revolution vyote visimame kwa pamoja je sisi binadamu tutadondokea wapi?? Juu chini au wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    Kama Dunia inazunguka jua kwa Spidi kubwa kwanini vyombo vilivyo nje ya dunia haviachwi?

    Mkuu nmekupata naomba kuuliza ikitokea dunia ikasimama ghafla sisi binadamu tutaangukia wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    Je, inawezekana kila kitu ni mpango wa Mungu?

    Ndo mana muhubiri alipata kusema yote afanyayo binadamu na kujihangaisha nayo chini ya jua ni ubatili mtupu na kujilisha upepo.
  10. J

    Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

    Hii hata ktk sayansi ya mbegu Za mwanaume. Mbegu iliyobeba XY ambayo ya kiume inakufa mapema kuliko XX ya kike.
  11. J

    Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

    Kwa barca hata ukimpa wenger ataonekana kocha bora
  12. J

    World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    Jiwe walilolikataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu la msingi-Sir Jesus
  13. J

    Nimempa mimba dada fulani najuta kuzaliwa!

    kwanza Hongera kwa kuwa Baba mtarajiwa pili mwambie mchumba wako ukweli na umwombe msamaha.hakuna short cut katika maisha Maisha yetu ni matokeo ya matendo yetu... so komaa jiandae kumlea mtoto
  14. J

    Maajabu ya mwanaume niliyenae

    Huku Vanessa anaimba mwanaume Suruali huku mleta mada ye anataka kupetiwa petiwa "Wanawake mwalimu wenu kipofu"
  15. J

    Tahadhari: Kama una mke mjamzito usijaribu kufanya hili

    Ndio mana kuna tangazo linasema usithubutu kukutwa na Bwana Pepsi unaona sasaaa hahahaaaaa!!![emoji23] [emoji23]
  16. J

    Ni kwanini katika maisha ya siku hizi kumekuwa na hali ya ndugu kwa ndugu kutoelewana?

    Jamani tuongee yote lakini chanzo kikubwa ni pesaa ktk ukoo au familia ndugu wenye pesa huwatenga ambao hawana pesa. Wenye pesa watapigiana simu, watatembeleana, watasolve matatizo yao... lakini kama huna kitu hakuna wa kukutafuta wala kukujulia hali zaidi jambo la familia linaweza kutokea na...
Back
Top Bottom