Search results

  1. Mwakalinga Bujo

    Kesi ya Agnes Doris Liundi - Nini hasa kilitokea?

    Miaka yote nipo Jf, hii story ndio nimesoma leo. Viva Jf, Viva Mtambuzi 👏👏👏
  2. Mwakalinga Bujo

    Ole Sabaya hizi tuhuma za Wafanyabiashara wa Hotel ni nzito kwako, huu sio uongozi!

    Nimeona clip aliyomchukuwa mama mmoja ambaye alishawahi hojiwa na Millard Ayo-akijitambulisha kama chalii ya R. Leo ameibuka hai kama mlalamikaji, kadhulumiwa samba.
  3. Mwakalinga Bujo

    Video: Halmashauri kuu ya TLP yampitisha Dr. John Magufuli kuwa Mgombea Urais 2020

    Halmashauri kuu ni yeye na familia yake, so maamuzi ni rahisi sana
  4. Mwakalinga Bujo

    Plot4Sale RESIDENTIAL PLOTS FOR SALE

    Huu ni utani na thamani ya pesa
  5. Mwakalinga Bujo

    Wanaomchafua Dr. Dau magazetini na mtandaoni ni wafamaji, acheni waendelee kutapatapa

    Duh! Ndugu yangu sisi ni weusi kama ww , hizi dini zimeletwa na waarabu na wazungu . Tudumishe yale yanayofaa kwa kuwa mimi na wewe ni wamoja ,usinitenge kwasababu mimi ni mkristo na wewe ni mwisilamu . Bado nakulilia ndugu yangu wazungu na waarabu waliotuletea hizi dini si ndugu zetu . Tafakari...
  6. Mwakalinga Bujo

    Bei ya petroli yashuka huku dizeli na mafuta ya taa ikipanda

    Hii imekaa sawa. Sema kwenye mafuta ya taa,something has to be done
  7. Mwakalinga Bujo

    Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

    Kweli JF inatembea ,imeacha kukimbia ...
  8. Mwakalinga Bujo

    Mti wa Chuma ni nani humu JF?

    Hongera sana jamaa... Komaa utawaajiri hata baadhi yetu tunaokubeza humu
  9. Mwakalinga Bujo

    Kikwete a smart Man that I know

    Naungana na wewe mkuu
  10. Mwakalinga Bujo

    Hatimaye mama Maria Nyerere ampigia kampeni Magufuli

    Mama Maria Nyerere amenishangaza sana. Ila bibi yetu amechoka wanampeleka peleka Tu.
  11. Mwakalinga Bujo

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Salute kamanda kwa makala yako iliyoshiba Busara
  12. Mwakalinga Bujo

    Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    I salute you Mkuu Kuna tatizo zaidi ya hili,this is too personal! Ur good than this
  13. Mwakalinga Bujo

    Tundu Lissu kumrithi Dr. Slaa

    Lizaboni Kazi uliopewa huifanyi wewe kutwa kuwataja viongozi wa CDM na Ukawa. Ningekuwa mimi Nappe ningekatisha ajira yako .
  14. Mwakalinga Bujo

    Anna Kilango atiwa mbaroni kwa tuhuma za kutoa rushwa

    Chenge Kenye kiwango chake. Mkuu umepotea ama unapatikana zaidi kwenye jukwa letu lilee. #CCMOutOct25
Back
Top Bottom