habari zenu wakuu natafuta mahali wanauza hizi poker chips ambazo ni kwajili ya michezo ya kujifurahisha tu na wala sio zile zenye thamani kabisa za casino. Anaefahamu tafadhali ani-pm au comment. Natanguliza shukrani
wakuu, ninauza iphone 4s imetumika kwa mda wa miezi 4, haina tatizo lolote wala scratch.
ni nyeupe na ina gb16. inakuja na charger tu kwa bei ya 420,000/=tsh.
kwa yeyote atakaehitaji namba hii 0785707008.
utamuinspire mtu vip asome comb ngumu wakat anajijua hawez au siyo anayohitaji kwenye taaluma yake? kama we unataka kasome halafu uone matokeo baada ya miaka 2! nyinyi ndo walewale mnaosoma pgm mara cbg alafu mnakuja kuanza diploma in accountancy! kuwa uyaone! hii elimu ya bongo sio kama ya nje!
Wakuu mitsubish lancer used ya mwaka 1998 iko sokoni kwa bei cheap kabisa,vile vile ilinunuliwa mpya with 0km so itakuwa ni second hand! Engine ipo katika hali bomba kabisa!
ishu yako kitaalamu wala sio kujamba ni kitu kinaitwa pussy farting mara nying hutokea pale mnapofanya mbuz kagoma style ni hewa inaingia ukeni na kutoka so unahisi kajamba! jaribu kusearch google hiyo kitu! pia mshauri mwenzio afanye mazoez ya kegel itasaidia!
sijui Ni kwanini navutiwa na simulizi za mtambuzi? nilikuwa nasinzia lakini baada tu ya kuona jina lake kwenye hii thread usingizi ukapaa! simulizi zako zina mafunzo mengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.