natafuta poker chips

natafuta poker chips

hart

Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
22
Reaction score
5
habari zenu wakuu natafuta mahali wanauza hizi poker chips ambazo ni kwajili ya michezo ya kujifurahisha tu na wala sio zile zenye thamani kabisa za casino. Anaefahamu tafadhali ani-pm au comment. Natanguliza shukrani


index.jpg index1.jpg
 
Back
Top Bottom