Search results

  1. J

    Hii ni timu ya Taifa U23, Maajabu hayatakuja kuisha nchi hii

    hili kundi la U23 limeruhusiwa kuongeza wachezaji wa3 waliozidi 23 Lusajo ni mmojawapo.Angalia wamewekewa nyota wote wa3. Mfano LUSAJO*
  2. J

    Nauza pasi original za Philips

    Namba ya simu plz, nipigie 0784 800 386
  3. J

    Selection za kidato cha tano 2020/2021 tayari. Naomba mwenye link jamani

    http://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-allocation/2021/first-selection/index.html
  4. J

    Selection za kidato cha tano 2020/2021 tayari. Naomba mwenye link jamani

    http://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-allocation/2021/first-selection/index.html
  5. J

    Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

    Labda ni mimi, nilimaliza Galanosi 1978 nikajiunga na Jeshi bahati mbaya nikapangiwa course ya Radar Engineering pale chuo cha ulinzi wa anga nikamaliza 1982, nikawa natembelea sana pale Galanos maana pale Dispensary walikuwepo watoto wa waganga wa dispensary duh. Mzee Hiza nk
  6. J

    Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

    Pereira yule alikuwa burushi burushi vile?? alikuja Galanos nikiwa form 2 akawa anafundisha English tu
  7. J

    Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

    una maana Mwl.Richard Msocha mwalimu wa michezo. Ameshastaafu mimi namuita Morison namfahamu sana ni ndugu yangu sema nikupe namba yake
  8. J

    Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

    Ila mimi ni mhenga sana, niliondoka 1978 wakati ule chakula kinapikwa kwenye gas hapo jikoni karibu kabisa na dinning room
  9. J

    Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

    Nguva juu ni mdada mrembo sana na chini ni samaki
  10. J

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Lowasa Raisi 2015, mimi kwa upeo wangu sioni kabisa mtu anayefaa kulipeleka hili gurudumu tena kwa speed 180 per hour.Tulitembea 50 per hour kwa muda mrefu sana sasa muda umefika tupate mtu atakaye tupeleka peleka kwa style ya mzee Mrema enzi zile au marehemu Edward Sokoine nchi ilinyooka basi...
  11. J

    Dr LWAITAMA asisitiza muundo wa serikali 3...!

    ni kweli serikali 3 ndio mpango mzima, hasa hasa hasa Tanganyika kwa nini CCM hawaipendi???? DR.Lwaitama ndio matunda ya Tanganyika, wale wote wanaoshabikia serikali mbili ni uzao wa Tanzania
  12. J

    Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Joel Humphrey unatakuwa una matatizo ya kudumu na EL siku akichukua nchi wewe na mataahira wenzako mtakuwa wa kwanza kukimbia nchi.Hapa jamii forum watu wanachangia lkn wewe unagombana. Eti unaita wenzio mijitu wewe ni nani kama sio jitu???Anglia kitu ulichoweka hapo kama picha yako na mawazo...
  13. J

    Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

    Miongoni mwa wabunge la katiba atakaye haribu utaratibu wa kupata katiba mpya ni Mh. Ole s.....ka, uchangiaji wake ni wa kibabe babe, siku ya kwanza kabisa alizungumzia uraia wa mmbunge wa chadema, sasa aliyemchagua kuingia bungeni hana akili na pale walikwenda kuchangia uraia wa mtu au ukabila...
  14. J

    Edward Ngoyai Lowassa VS Edward Moringe Sokoine

    Sokoine na Lowasa wanafanana vitu vitatu na utatu upo popote hata kiroho na hata kimwili 1. Majina yao ya mwanzo yanafanana 2. Wote ni kabila moja, Wamasai 3. Wote ni wachapakazi wenye mfano wa kuigwa na wengine Upende au usipende huo ndio ukweli
  15. J

    Edward Ngoyai Lowassa VS Edward Moringe Sokoine

    Sokoine na Lowasa wanafanana vitu vitatu na utatu upo popote hata kiroho na hata kimwili 1. Majina yao ya mwanzo yanafanana 2. Wote ni kabila moja, Wamasai 3. Wote ni wachapakazi wenye mfano wa kuigwa na wengine Upende au usipende huo ndio ukweli
  16. J

    Sumaye kugombea urais kupitia chama cha upinzani ikiwa....

    Kama naota ndoto leo ni tarehe 31/10/2015 pale uwanja wa UHURU kukiwa kumefurika watu, bendi ya Capt Komba ikitumbuiza, inaashiria mgombea wa thi thi emu ndio mshindi. Juu la jukwaa kuu kwa mbali (mimi niko mbali) namuona Raisi wa sasa anatabasamu na anapiga makofi na kucheza taratibu kulingana...
  17. J

    Gazeti la JAMHURI limenunuliwa nakala zote ili lisionekane mtaani leo

    Tajiri wa lake oil hana jina?? Kama ameshitakiwa atakua ametajwa jina
Back
Top Bottom