Search results

  1. lane

    Tunauza heka Arusha

    Ina hati (title deed)?
  2. lane

    Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

    Asante sana Molemo Media kwa kuwa tayari kutuhabarisha Asante sana Mwenyekiti Mbowe FA kwa hekima na ustahimilivu wako wa kupigania UHURU wa kweli wa mtanzania Karibu sana wakili msomi na mwanaharakati wa kweli, muafrika wa kweli, ndugu yetu Tundu AL NJOO TUPAMBANE mpaka Tanzania na...
  3. lane

    Prof Issa Shivji: The Dialectics of Maguphilia and Maguphobia

    Mpinzire yaani nikisamaraiz itakata utamu. Ni nondo haswa. Soma taratibu
  4. lane

    Prof Issa Shivji: The Dialectics of Maguphilia and Maguphobia

    Pata andiko tamu kabisa toka kwa nguli, mwanazuoni na msomi Prof Issa Shivji akichambua utawala wa Magufuli na siasa za Tanzania. Article/Andisho limeambatanishwa. === Tanzania: The Dialectics of Maguphilia and Maguphobia Hopefully, the Magufuli...
  5. lane

    UTG ni kundi la wanung'unikaji na walalamikaji waliokosa madaraka ndani ya CHADEMA

    Hii ndio shida ya kuvimbiwa pilau la pasaka. Matokeo yake ni mouth diarrhoea kama afanyavyo huyu Lizaboni na uzi wako uliokosa mashiko kimantiki. Siasa uchwara za kikabila na ukanda na udini hazifuo dafu na chama lenu linajua hilo. Hatuna haja ya kujadili ukabili, dini au ukanda atokako mtu...
  6. lane

    Tamko la Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuhusu hali ya usalama nchini na kupotea kwa Ben Saanane

    Mmefanya kazi nzuri sana Malisa Godlisten na hakika kazi yenu haitaenda bure. Watanzani tupo nyuma yenu na haki ya mtu haiwezi potea no matter how long it takes
  7. lane

    Tundu Lissu: Judge Candidates by their DEEDS not WORDS Alone

    Good evening Colleagues. As I remain temporarily without access to all of TLS and Chapter telegram and other social media groups, I request you to circulate this message widely, especially to all lawyers groups. JUDGE CANDIDATES BY THEIR DEEDS, NOT WORDS ALONE Statement by Hon. Tundu A.M...
  8. lane

    TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Pumzika kwa Amani mwanaJF Dena Amsi. Kwa kweli posts zako au michango yako ktk mada mbalimbali zilinifanya nipende JF. RIP
  9. lane

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Mkuu MTOTO YATIMA vipi mpaka sasa umefanikiwa kupata taarifa kiasi gani? Mathalan aina ya mbegu ifaanyo kwa maeneo ya kiteto. Mwezi huu wa 12 ntatia timu huko kiteto kupiga kazi. Tutafutane mkuu
  10. lane

    For JamiiForums Mobile users

    Aiseee. Kwa maelezo zaidi Bonyeza Hapa Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
  11. lane

    Pacemaker ni nini?

    Asante kwa maelezo mujarabu.
  12. lane

    Rais Magufuli ateua Wakurugenzi wa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya za Tanzania Bara

    Ndio hapo weledi (professionalism) inapoonekana sio kitu sio lolote badala yake zaidi tunaendekeza siasa uchwara afu tutegemee nchi ya viwanda
  13. lane

    Salaam kutoka Gerezani Dodoma: BAVICHA yatangaza ushindi

    Kiukweli Lazima sisi sote bila kujali itikadi zetu za siasa au ushabiki wa aina yeyote ule tumkanye kwa nguvu zote mtu au taasisi yeyote yule anayejaribu kupoka uhuru na demokrasia ktk nchi yetu.
  14. lane

    Salaam kutoka Gerezani Dodoma: BAVICHA yatangaza ushindi

    Hizi harakati za Vijana wetu lazima tusapoti kwa hali na mali maana ni kwa ajili ya ustawi wq nchi yetu
  15. lane

    Salaam kutoka Gerezani Dodoma: BAVICHA yatangaza ushindi

    Safi sana #BAVICHA wamefanya kazi nzuri sana; huu ni ushindi mkubwa sana wa kupambana kwa ajili ya demokrasia
  16. lane

    Msaada: Jiko la gesi

    Duh. VAN HOT Point
  17. lane

    Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

    You are very right mkuu. Kwa kifupi huyu jamaa yete hajaelewa vizuri hiyo biashara ya bond 2a NMB. out of common sense bank hai wezi Kukupa riba ya 156% per annum ilhali yenyewe haiwezi tengeneza hizopesa
  18. lane

    Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

    Aisee. Hili ni bonge la wazo. Azingatie ushauri
Back
Top Bottom