Search results

  1. MyTanzania

    Huwa mnamsoma Ulimwengu?

    Kazi kweli kweli
  2. MyTanzania

    Katibu mkuu wa Wizara ya Afya lawamani (Blandina Nyoni)

    Mh, jamani serikalini mbona kupeana kazi ni kawaida?
  3. MyTanzania

    Ufisadi mwingine JWTZ: Mboma, Mkapa, Apson wanajua!

    Guys,government procurements takes longer than you can imagine. Kwa mfano toka wametangaza tenda ya vitambulisho vya uraia mpaka sasa umepita muda gani? Suala la ndege za kijeshi lipo,ila kikwete alipoingia alikuwa victim wa hiyo contract. Once you enter the contract you have to abide by the...
  4. MyTanzania

    Rostam na Manji watoe maelezo vinginevyo watiwe pingu!

    Mzee yule ameongea jana mpaka nimelia wadau.Amenikumbusha waathirika wa ukimwi wanavyofuata dawa katika hospitali ambazo ziko katika umbali zaidi wa maili ishirini. Amenikumbusha wadogo zangu ambao wanasoma kwenye shule za kata ambazo hazina walimu, maabara, vitabu (kwa maana nyingine wapo...
  5. MyTanzania

    Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

    Kama kweli Mkulu wa nchi amfanya kale kamchezo ni hatari. Mimi siamini sana,lakini kama ni kweli ni fedheha si kwa yeye tu, hata kwa watanzania wote. Ni aibu kubwa tutaficha wapi macho yetu? Mtu aliyepost ile picha tunaomba awe na uhakika na alichopost kwani kama si kweli ni hatari sana wakuu.
  6. MyTanzania

    Yussuf Makamba amwinda Reginald Mengi, yeye awataja mafisadi Papa rasmi!

    Kawataja kama mafisadi papa. Anasema watu wanaolisunbua taifa hili wako kumi lakini mapapa kabisa wako watano wakiwemo Rostam, Jeetu, Manji, Subash na mwingine mmoja. Aliulizwa kama haogopi kushitakiwa? Akajibu kuwa waende mahakamani kwani mahakama zipo kutoa haki kwa watu. Akasema waende ili...
  7. MyTanzania

    Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

    Jamani,zeutamu imefika pabaya. Objective zao nini? Their days are numbered.
  8. MyTanzania

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Welcome to the capital city of trophies
  9. MyTanzania

    Nzega Golden Pride mine robbed of gold worth $3m(approx Tshs 4bn)

    Nzega Golden Pride mine robbed of gold worth $3m THISDAY REPORTER Dar es Salaam POLICE have confirmed they are investigating reports of an armed robbery incident at the Golden Pride Gold Mine Nzega, Tabora Region, in which gold bullion worth an estimated $3m (approx. 4bn/-) is said to...
  10. MyTanzania

    Bunge lakumbwa na kashfa nzito

    Hoja nzuri lakini presenter anakosa focus. Issue ni kuwa hawana sifa au ni wakatoliki. Maana siamini kama wote waliochukuliwa ni wakatoliki kwani St. Augustine inachukua watu wa dini zote. Pia siamini kama watu wenye sifa wapo St. Augustine tu. Inawezekana pale wakubwa walikuwa na mtu wao...
  11. MyTanzania

    TOURIST HUNTING INDUSTRY: Revealed: Mzindakaya`s `hidden` business interests

    Mzindakaya kazi kweli kweli. Jamaa alikuwa mkulima mzuri kweli kweli kule kwetu Sumbawanga. Unajua nyama ya mtu tamu sana,ukionja huwezi kuacha. Ameonja ufisadi huyo,alikuwa analipua mabomu ya ukweli sana ila sasa kila bomu analolipua kuna conflict of interest nyuma yake. Angalia issue ya...
  12. MyTanzania

    prince bagenda,shankupe wa mafisadi;tuwe makini nae

    MZee hii ya tatu sijaijua kidogo,Naomba uni PM
  13. MyTanzania

    Ni kutetea Israel au ni Ubaguzi kama tuujuavyo?

    AHMADINEJAD pia ni mbaguzi sana kama tukisimamia ukweli. Kama uliisikiliza speech yake jana na huna bias,utakubaliana na mimi. Waisrael ni kweli wanawaua wapalestina kama wapalestina wanavyowaua waisraeli. Kwa hiyo wanauana,cha muhimu mataifa mengine kama kweli tunataka kusaidia tusichague...
  14. MyTanzania

    TGIF: Amri 10 za Serikali

    Twangoja bwana Musa,tumesubiri sana miaka 400 (over 40 years of independence)
  15. MyTanzania

    Mkurugenzi abanwa kwa kugoma kumlipia Makamu wa Rais malazi

    Ninavyojua mimi, Makamu wa Rais ana bajeti yake ya ziara kutoka ofisini kwake. Watu anaoambatana nao pia wana perdiem zao kulingana na vyeo vyao. Makamu wa Rais anapewa perdiem,lakini kutokana na wadhifa alionao,gharama zake za malazi na chakula ofisi yake inagharamia. Watumishi wengine...
  16. MyTanzania

    Two Medical Doctors Drown in Sanje Water Falls

    May God rest their souls in eternal peace
  17. MyTanzania

    Between your legs!

    The Beach-Between your legs
  18. MyTanzania

    ATCL wanafuga matapeli wa mjini

    Moderators please angalieni watu kama hawa,wanaleta hoja ambazo ni za vikao vya harusi wakihusisha na bodies zenye interest za watanzania wote. Huyu bwana sijajua nia yake ilikuwa ni nini,maana kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe. Mfano ATCL inahusika vipi hapo? Hayo ni mambo binafsi...
  19. MyTanzania

    I am looking for mentor/coach

    Asante burn,nashukuru kwa kunielewa. Sanasana napenda kuwekeza kwenye ICT na printing & design industry.
Back
Top Bottom