Search results

  1. shirima-wa-pili

    Faida za Aloe vera kwa kuku jamii ya Broiler.

    mmea wa aloe vera umekua ukitumika kwa miaka mingi kama tiba na kinga kwa binadam na mifugo. Hali iyo ilipelekea shirika la US National Library of Medicine,pamoja na vet world,kufanya utafiti katika mmea huu pamoja na majaribio yale kua na majibu mazuri zaidi. Utafiti huo ulifanyiwa majaribio...
  2. shirima-wa-pili

    Zifahamu Haki zako za msingi kabla hujakamatwa na polisi

    Zifahamu haki zako za msingi kabla hujakamatwa na police, Polisi atapokuambia upo chini ya ulinzi, unahaki ya kumwambia usinizingue. Police atapo kupiga kibao,unahaki ya kumpiga dumi,mateke nk. Kufikia kumpiga police atakua na haki ya kikatiba na sheria kukuvunja mbav n.k tii bila shurt
  3. shirima-wa-pili

    Lugha ya kisharua na kiarachuga.

    mkoa wa arusha umekua chimbuko la lugha mbili maarufu moja ikiwa ni Arachuga, na nyingine ikiwa ni kisharua ambayo maneno ya kiswahili zanasomeka toka kulia kurudi kushoto mfano *jamiiforum hutamkwa mrufomija, pesa ; sape. Mara nying lugha hi wanaitumia watu waarusha na kidogo ningumu kuelewa...
  4. shirima-wa-pili

    Club ya chelsea yafungiwa miaka miwili na fifa

    Club ya Chelsea imekumbana na adhabu ya kutokufanya uamisho wa wachezaji kwa miaka miwili na shirikisho la soka duniani FIFA,Adhabu iyo inakuja baada ya chelsea kufanya usajili wa mchezaji Bertrand Traore raia Bukina faso akiwa na umri wa miaka chini ya miaka 18,ambae kwa sasa anacheze club ya...
Back
Top Bottom