Search results

  1. R

    Info za ndani ndani kuhusu kujiunga jkt

    aha aha aha ah huna akili ww. Unafananisha sifuri na Duara
  2. R

    Kinachoendelea BodaBoda Day na Lowassa

    Raisi wangu 2015 anapendwa aseeee dah
  3. R

    Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

    KARNE YA 21 MNAZUNGUMZIA MAKABILA? Duuh upungufu wa akili kichwani UWAKI
  4. R

    Dr. Slaa: Pinda anapaswa kujiuzulu

    Gongo imeanza kumuharibu uyu mzee abadilishe atumie hata viroba
  5. R

    Info za ndani ndani kuhusu kujiunga jkt

    BABA AKO AMEKUDANGANYA.FIKRA ZAKE FUPI SANA. JESHI NI SPIRIT.KM HUNA SPIRIT HUWEZ HATA KIDOGO KU SURVIVE MAFUNZO YA KIJESHI. KUHUSU KUFUNZWA KUUA, HAKUNA COARSE,INAYOFUNZA WATU KUUA. KUHUSU SUALA LA ELIMU,MAISHA YAMEBADILIKA SANA.JESHI LIMEBADILIKA PIA.WATU WANA PHDS,MASTERS,NA...
  6. R

    Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    Labda kwa watumiaji na watengenezaji wa gongo
  7. R

    Dr. Slaa kuunguruma IGUNGA tarehe 22 Disemba,2013

    Kagundua mtambo mpya wa kutengeneza gongo au bado ni au ule ule wa mwanzo ?
  8. R

    Mapokezi aliyopewa Zitto Kigoma- Ni kwanini hakuna alama (Bendera, Kombati, n.k) za CHADEMA

    kwaiyo ulitaka Taasis iwe na Nguvu kuliko Zitto? Kusoma huwezi,hata picha nayo huoni? R.I.P CDM KIGOMA
  9. R

    Mapokezi aliyopewa Zitto Kigoma- Ni kwanini hakuna alama (Bendera, Kombati, n.k) za CHADEMA

    zitto ni maarufu kuliko CDM wala huitaji ufundishwe darasani hili. Fanya simple research tu utagundua hilo. No Zitto,No CDM yenye uwezo wa kujenga hoja
  10. R

    ...Balozi Khamis Kagasheki katika hili umeonewa hatia yako siioni bado

    shujaa sana yani wa kugombana na Meya wa Bukoba wakati yeye waziri. Hakua hata na Aibu
  11. R

    Mikogo ya Hemed Kivuyo wa ITV!

    na ww kuwa m bunifu kwa kujaribu kuangalia vituo vingine vya habari,ili uone umuhim na utofauti wa hemedi kivuyo.
  12. R

    Info za ndani ndani kuhusu kujiunga jkt

    aha aha ha mkuu watu wanajaribu bahati zao kuingia usalama wa Taifa
  13. R

    Info za ndani ndani kuhusu kujiunga jkt

    Habari za muda huu wadau wa JF. Nimepata taarifa za ndani kabisa,za kuhusu kujiunga na JKT kwa wale wanaotaka, Habari za chini ya Carpet nilizozithibitisha kutoka chanzo cha ndani cha habari, zimebainisha kuwa Nafasi za Wanaotaka Kujiunga na JKT zitatangazwa Tarehe 23 na 24 kwa baadhi...
  14. R

    Eti ni lini serikari itapiga marufuku Uvaaji wa hovyo hovyo

    maadili ni nini? Maadili ya Mtanzania ni yapi? Maadili hayo Yameandikwa au kuelezewa wapi? Yalipitishwa na nani? Lini na wapi? Kuhusu kuvaa ni swala binafsi. Serikari km haimpangii Mwananchi wake,namna ya kununua mavazi, haimpi pesa ya kununua mavazi, kamwe haiwezi kumpangia mtu kuvaa...
Back
Top Bottom