Search results

  1. Nape Nnauye

    USIA wa Baba wa Taifa!

    CHAMA CHA MAPINDUZI kitakapobadili sera yake ya Muungano wa Serikali Mbili, sera yake mpya itakuwa sera ya Muungano wa Serikali moja. Chama Cha Mapinduzi chenye wanachama wenye akili, na ukweli, na ujasiri, hakiwezi katu kukubali sera ya serikali tatu, kikijua wazi wazi kwamba matokeo na shabaha...
  2. Nape Nnauye

    Masikini UKAWA

    Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE! Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr...
  3. Nape Nnauye

    UKAWA acheni utoto!

    Yaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto! Lakini kama mko serious MSIRUDI KABISA BUNGENI TENA. Mlishatishia kwenda barabarani nikawaambia MTATUKUTA BARABARANI. Karibuni sana!! waacheni wanaotaka katiba ya Tanzania...
  4. Nape Nnauye

    Unafiki huu wa wanaharakati (CHADEMA), kiboko

    Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa...
  5. Nape Nnauye

    Mandela ALAMA YA SIASA ZA KUUNGANISHA WATU!

    Katika hali ya kawaida chuki kati ya weupe na weusi Afrika Kusini,chuki iliyojengwa kwasababu ya ubaguzi wa kutisha uliotendwa na serikali ya makaburu, haikua rahisi kudhani kwamba lingekua ni jambo rahisi kuwafanya watu wasahau na kusameheana na leo waishi kama Afrika Kusini moja! Nelson...
  6. Nape Nnauye

    "Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

    Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza; "Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano...
  7. Nape Nnauye

    Mgogoro wa Madiwani Bukoba: Masilahi ya Wananchi na Nchi kwanza ya Chama baadae!

    Kumekuwa na mijadala kadhaa juu ya namna mambo yanavyokwenda ndani ya CCM hasa kufuatia sakata la madiwani na Meya wa Manispaa ya Bukoba. Kimsingi hali si tete kama inavyojaribu kuelezwa. Taratibu, kanuni, sheria na Katiba ya Chama kupitia vikao vitatumika kulimaliza swala hili kwa amani kabisa...
  8. Nape Nnauye

    Hoja ya JK juu Rwanda nani mzalendo, Baregu & Mkumbo na Dr. Slaa!

    Nimetafakari hoja mbalimbali zilizotolewa toka sakata la Rwanda na Tanzania(JK na Kagame) lianze. Na hapa nikakutana na mgongano wa hoja za wakubwa watatu...Prof. Baregu na Dr. Kitilya Mkumbo kuwa wao wanamuunga mkono JK,lakini Mhe.Dr. Slaa yeye akamkosoa kwa nguvu kubwa JK kuwa alikosea...
  9. Nape Nnauye

    Muhimu: Kulinda ajira za wazawa Tanzania...

    Ukiongea na vijana wengi sana kwenye ajira hasa za makampuni ya simu, mabenki mashirika mbalimbali nchini ni jambo la kawaida kusikia vijana wazawa wakilalamikia sana wageni na jinsi wanavyowanyanyasa wazawa hata kama elimu yao ni kubwa kuliko hao wageni kipato ni mbingu na dunia! Ukisikiliza...
  10. Nape Nnauye

    ...Mwisho wa UONGO ni AIBU!

    Kwa Ben Saanane, Mawio na wote wanaowatuma, MSISAHAU MWISHO WA UONGO AIBU! Huu ndio ukweli wa nilichosema juu ya wazee. Sasa pimeni wenyewe aibu ya nani kwa uzushi wenu! Si kila unacholishwa unabeba!
  11. Nape Nnauye

    Kipigo cha ZANU-PF dhidi ya MDC Zimbabwe ni salaam tosha!

    Kipigo cha MDC Zimbabwe na ushindi wa kishindo wa Mugabe ni salaam tosha kwa wapinzani nchini jinsi wanavyoendesha siasa na kujenga matumaini yasiyokuwa na msingi wa kweli. Ukiangalia kampeni zilivyokwendana matumaini waliyokuwa nayo MDC na wafuasi wao, hakika ndoto za mchana zinaua upinzani...
  12. Nape Nnauye

    Nape: Gazeti la Mtanzania wamepotosha kuhusu kauli yangu!

    Nimestushwa sana na stori ya gazeti la Mtanzania inayodai kuninukuu kuwa nimesema wazee waliopendekeza serikali tatu wanasubiri kufa! Kwakweli nimesikitishwa sana hata na jinsi maneno ndani yalivyopangiliwa kiasi kwamba inanipa tabu kuamini kama mhariri aliipitia hii stori ukiachilia mbali kama...
  13. Nape Nnauye

    Kimya changu kina mshindo - Nape

    ...loading..............................................
  14. Nape Nnauye

    Kodi ya Simu: Serikali lazima isikilize kilio cha wananchi

    Kumekuwa na mjadala mpana sana juu ya kodi iliyopitishwa na bunge ya kadi za simu za mkononi. Kimsingi kama Chama tumeshatoa msimamo juu ya kodi hii.(SERIKALI IANGALIE VYANZO VINGINE NA KODI HII IFUTWE). Ninamshukuru na kumpongeza Rais kwa msimamo wake juu ya hili. Agizo la Rais kwa wahusika...
  15. Nape Nnauye

    CHADEMA na ndoto za kumuondoa Meya Arusha!

    Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya...
  16. Nape Nnauye

    Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

    Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).
  17. Nape Nnauye

    Mshitakiwa

    (makala hii imeandikwa na Dr. Mohammed Seif Khatibu) MWAKA 1984, mkoani Dodoma ndani ya ukumbi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kulikuwepo kesi kubwa. Kesi ya kiongozi wa juu wa serikali ya Zanzibar. Alishitakiwa kwa kosa la kwenda kinyume cha Òhati za MuunganoÓ uliosainiwa na Abeid Amani Karume na...
  18. Nape Nnauye

    Katiba iwe ya Wananchi sio ya viongozi!

    Toka rasimu ya Katiba mpya itolewe viongozi wengi wa kisiasa na kijamii wamekuwa wakitoa maoni yao hadharani juu ya rasimu hiyo, madhara ya hili ni kujaribu ku influence mawazo ya wananchi ambao kimsingi ndio wanaopaswa kuwa wenye Katiba mpya. Kwanini viongozi wetu hawa wakijamii na kisiasa...
  19. Nape Nnauye

    Wako wapi waliodai Tume ya Katiba haina weledi na wala si huru!??

    Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru tume hiyo kufanya kazi wanayotakiwa kufanya. Sasa baada ya rasimu hii natamani kuwasikia tena...
  20. Nape Nnauye

    CCM YAPITA KATA YA LANGILO RUVUMA bila kupingwa!

    Katika hali inayodhihirisha kuwa CHADEMA wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo. kama watani...
Back
Top Bottom