Search results

  1. Tukwazane Taratibu

    Mama wa rafiki yangu changamoto

    Oyaaaaaa mtaje mkuu tumjue.
  2. Tukwazane Taratibu

    Mama wa rafiki yangu changamoto

    La mkoa gani hilo jimama mwanangu
  3. Tukwazane Taratibu

    Zine el Abidine Ben Ali wa Tanzania anajidanganya hapo magogoni

    ZINE EL ABIDINE BEN ALI ambae alipata kuwa Rais wa Tunisia kwa miaka 24 mfululizo kuanzia alikuwa na figisu figisu kama huyu Ben Ali wa Magogoni ya Tanzania, alijitahidi sana kuudanganya umma na mataifa ya nje kwa zoezi la kura kila baada ya miaka 5 nchini mwake akishinda kwa zaidi ya asilimia...
  4. Tukwazane Taratibu

    Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

    Ni kweli hata mimi naona nikishawishiwa kuingia msituni kuidai haki yangu kutoka kwa mbwa wa mfumo wa CCM.
  5. Tukwazane Taratibu

    Taarifa juu ya kukamatwa na kushikiliwa kwa mkuu wa idara ya habari wa CHADEMA, Tumaini Makene

    Polisi wanajidanganya hawana uwezo wa kumjua mmiliki wa CHADEMA BLOG ,,,,
  6. Tukwazane Taratibu

    CV ya mgombea ubunge UKonga Chadema Asia Msangi

    Ana BAchelor degree ya chuo kikuu cha Dar es Salaam na kwa sasa anasomea MAster pia ana postgraduate diploma ya international relation...
  7. Tukwazane Taratibu

    Rais Magufuli: Mh. Heche toa mkono mfukoni unapozungumza na mimi, wewe ni kama mwanangu wa kumzaa

    Huyu binti amenitoa machozi...Mungu akusaidie sana mdogo wangu Monica
  8. Tukwazane Taratibu

    Msafara wa Raisi (Presidential Motorcade) kukosea njia! Hii imekaaje kiusalama?

    Endeleeni kuamini kwamba alijipiga risasi...wfk....
  9. Tukwazane Taratibu

    Zitto Kabwe: Tanzania tunadaiwa jumla ya shilingi trilioni 8.4 kutokana na kesi kubwa nne za kimataifa

    Leo mchana kumesambaa taarifa kutoka bungeni Dom kwamba mbunge Zitto anajiandaa kuwasillisha bungeni mjadala binafsi kuhusu kesi ambazo nchi yetu imefunguliwa katika mahakama za kimataifa, katika madai hayo Zitto amedai ya kwamba kampuni ya uchimbaji wa dhahabu nchini ACACIA wamefungua kesi...
  10. Tukwazane Taratibu

    Msafara wa Raisi (Presidential Motorcade) kukosea njia! Hii imekaaje kiusalama?

    Kakudanganya nani kwamba alijinyonga? Rudi shule ya "reasoning".
  11. Tukwazane Taratibu

    Zitto Kabwe kuunguruma bungeni kuhusu serikali kuuficha umma juu ya kesi ya Acacia

    Kwenye kesi ya ACACIA lazima tushindwe na hapo ndipo ujinga utathibitisha kuwa MZIGO.
  12. Tukwazane Taratibu

    Msafara wa Raisi (Presidential Motorcade) kukosea njia! Hii imekaaje kiusalama?

    Hata nchi ilipotea njia kumfanya Magufuli kuwa Rais. Bonge la mistake watu walifanya.
  13. Tukwazane Taratibu

    Tanzania na Kenya zavutana kuhusu Mto Mara

    Nahisi na sisi tukiacha kuyatumia maji ya ziwa Vicktoria itakuwa vizuri zaidi ili kuwalinda wananchi wa Misri.
  14. Tukwazane Taratibu

    Hivi kwanini Marekani na washirika wake walisitisha mpango wa kuivamia Syria ?

    Yeah wewe ndio umesema kweli, kama seneti wangekubali Obama alikuwa ameshaamua kuivamia Syria kijeshi.
  15. Tukwazane Taratibu

    Hii ndio melivita hatari ya urusi na ya pili kwa uhatari kwa sasa ulimwenguni

    . Jana wakati nimetoa makala fupi kuhusu melivita ya NIMITZ kuna mdau mmoja aliibuka na kuipinga kwa kusifia Melivita ya urusi ijulikanayo kwa Jina la Admiral Kuznetsov naomba nikamwambia alete data za KUZNESTOV hiyo aache kutulisha maneno yenyewe , mimi ni muumini wa data na ushahidi, yaani...
Back
Top Bottom