Search results

  1. Chivundu

    Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

    Hiyo kofia nahisi anaficha upala, hilo buti la jeje au ndula nimelikubali. 😁
  2. Chivundu

    Ripoti Maalumu Mikopo Chechefu, Mabilioni ya Shilingi yakwapuliwa, wengine wagoma kulipa

    Hii inaonekana kama ni Nongwa au Husda au kutaka kuchafuana hivi. Hao wakopaji walikopa kwa utaratibu naamini katika utaratibu huo kuna dhamana waliweka ili ikitokea wameshindwa kulipa "Defaulting" dhamana zao zikamate ziuzwe kufidia deni. Au hizo benki ziliwakopesha bila dhamana, si washike...
  3. Chivundu

    Nimeaibika sana leo, nimejamba kikaoni mbele ya Binti nayempenda

    Hawa ndo wanatakaga tuwaajiri wakimaliza shule zao! 😁
  4. Chivundu

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Artificial intelligence = Akili Mnemba. 😁
  5. Chivundu

    Gerald Hando: Makonda akikutwa na hatia atafukuzwa Kazi ya Ukuu wa Mkoa

    Kunde Division Zero na Ubalozi! Waendelee kumpa ukuu wa mkoa tuu aendelee kubwabwaja kwa kiswahili! Umewahi kuona wapi Bashite ameongea sentensi mbili zilizonyooka za kiingereza!
  6. Chivundu

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Huwa napenda sana hizi stori za utafutaji kimafia za madingi. Nikimtazama Huyu mshua kwa hii picha mmeweka hapo, naona wazi mshua amekwenda ameshiba miaka na ana mvi zake. Kwa sura yake hii atakuwa kwenye late 60's or early 70's. . 😁 Pumzika Mzee ukute hata iyo pepo haipo ni kiini macho tuu. 😁
  7. Chivundu

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Mwite Kibanga.
  8. Chivundu

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Dogo huwa anajivurugiaga mwenyewe japo ana ngekewa. Waswahili wanasema hutakiwi kuongea sana wakati wa kula. Waswahili wakaongeza kwamba unapomenya karanga za kipofu, usiongee piga mruzi huku unatafuna ili kipofu asijue unakula karanga zake, maana ukiacha kupiga mruzi atajua unakula karanga.
  9. Chivundu

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Uhuru limekaa poa sana.
  10. Chivundu

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Hizi mada zinakuja au zinajadiliwaga mtu/watu wakila wakishiba. 😁
  11. Chivundu

    Inaumiza sana mtu ana masters degree ila hawezi hata kujilipia kodi ya chumba kimoja. Elimu ya juu imesababisha wategemezi wengi wenye umri mkubwa

    Acha huyo mzee, kuna mshikaji wangu amesomea "MIPANGO" ana degree ya Mipango na hela hana! Sasa sijui kasoma mipango gani? Huwa namuuliza hata yeye hana majibu.
  12. Chivundu

    Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

    Niliwahi pata Manzi mmoja! Dah yani yule Manzi kila muda anataka mnachati, stori, stori, WhatApp, Sms za kawaida muda wote. Vikanishinda sijazoea hayo maisha. Na yeye akawa ananishangaa etii. 😁
  13. Chivundu

    Alichokifanya leo Makonda ndo Jambo analoweza zaidi. Naionea huruma Tanzania

    Mkuu nondo ya Uchina na "Provinces" umeichambua vyema sana. Nimepata kitu kwenye huu uchambuzi. Kuhusu Makonda ni kweli unaloongea.
  14. Chivundu

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Wife alitakaga kuanza kuimba kwaya! Nikaweka karamu na karatasi tatu mezani nikamwambia nikikuona tena kwenye kwaya namwaga wino chap. Sijawahi msikia tena na habari za kuimba, naona alichagua ndoa akaacha kwaya. 😁
  15. Chivundu

    NEC yabadilishwa jina sasa kuitwa Tume Huru ya Uchaguzi

    Ucheshi wa wazi kabisa yaani (Comedy) za Mr. Bean hizi za bila kuongea.
Back
Top Bottom