Search results

  1. Z

    Kuna shida kubwa sana kwenye ofisi ya NHIF mkoa wa Mwanza

    Kuna shida kubwa sana kwenye ofisi ya NHIF kwenye mkoa wa mwanza. 1. Ofisi iko moja mkoa mzima, hivyo wateja wanalazimika kusafiri umbali mrefu kutoka wilaya zote za mwanza na visiwani kufika ofisi zao zilizopo Buzuruga kwenye jengo la TMDA 2. kuna foleni kubwa sana inayosababishwa na wingi wa...
  2. Z

    Chuo Gani kinadoa mafunzo ya Udereva wa Mitambo?

    Habarini wanajf Naomba kufahamishwa chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa mitambo kama Caterpillar, Greda, kijiko nk. Ninapenda kujua vyuo, mahali vilipo, jina la course pia na gharama kama inawezekana. Chuo kikiwa Dar itapendeza zaidi. Nitashukuru kwa msaada wenu wakuu.
  3. Z

    La Esclava Blanca (the white slave)

    Wakuu natafuta tamthilia ya kihispaniola iitwayo la esclava blanca ama the white slave kwa kiingereza. Kwa yeyote mwenye soft copy ama maujanja ya kudownload naomba anisaidie. Kwa sasa ni episode ya kwanza tu inayopatikana youtube Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Z

    Jifunze na uelimike kuhusu kinywaji maarufu cha Coca Cola

    Kanuni ya kutengeneza Kinywaji cha coca cola ambacho hutengenezwa kwa zao la cola (colanut) na majani ya mmea wa coca iligunduliwa na mfamasia wa kimarekani John S Pemberton mwaka 1886 huko atlanta. Alilenga kugundua Kanuni ya kutengeneza dawa ya kifua, dawa aliyoigundua ilishindwa kutibu...
  5. Z

    Mtaalamu wa jiko la chips

  6. Z

    Mtaalamu wa jiko la chipsi

    Habarini wana-jf nahitaji mtaalamu wa jiko la chips mkazi wa Dar. Moderator naomba muufute huu uzi
  7. Z

    Elimu bure

    Najiuliza mengi wanajukwaa Kwani elimu bure aliahidi nani? Aliyeahidi si ndo anayetakiwa kugharimikia bila kuathiri shughuli zingine? Je hii ya kulazimisha walimu no sahihi maana huu siyo mchango maana no lazima la sivyo utajieleza.
Back
Top Bottom