Search results

  1. Jamesh

    Bashe, Kigwangalla vita kali Nzega. Bashe amsasambua Mh. Kigwangalla

    Ingekuwa vyema ukajibishana naye bila kumtukana mama yake.
  2. Jamesh

    Landrover discovery inahitajika.

    Asante mkuu kwa ushauri, mimi sio mtaalamu sana wa magari lakini kwa nini unasema TDI sio nzuri kuliko TD5? zina tofauti gani? Je TD5 inaweza ikapatikana kwa bei gani maana bajeti yangu sio kubwa sana?
  3. Jamesh

    Landrover discovery inahitajika.

    Wakuu nahitaji kununua Land rover Discovery ya diesel iwe ya kuanzia mwaka 1997 na kuendelea. Iwe kwenye hali nzuri, Ofa yangu ni Tsh 9milioni.
  4. Jamesh

    Toyota VISTA Inauzwa

    Hii naiona sana kwenye biashara ya magari. Hivi huwa inarahisisha uuzaji kwa namna fulani eeh?
  5. Jamesh

    Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

    Asante kwa ushauri, nitaufanyia kazi.
  6. Jamesh

    Wengi wa wanaotafuta wachumba JF ni waongo.

    Ninao ushahidi kabisa wa watu waliofanikiwa hapa, mmoja alikuwa ni member na mwingine sio member. Waliwasiliana kwa miezi tisa kabla ya kuonana na baada ya mwaka mmoja ndoa ilifuata. Kwa hiyo wapo watu ambao wapo serious hapa japo sikatai wengine wanafanya utani.
  7. Jamesh

    Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

    Hili jina tu mamy nimepewa na wazazi. Si tunaweza kulibadili kama litakuwa kero kwako? LOL
  8. Jamesh

    Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

    Ni kweli, hata mimi sioni unyanyasaji upo kivipi hapa.
  9. Jamesh

    Kapuya, hii kali...! Ipe maneno picha hii

    Naomba kuuliza, hivi style ya kucheza muziki huku mnaangaliana siku hizi hakuna tena?
  10. Jamesh

    Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

    Umeona eeeh?
  11. Jamesh

    Ipe Habari Picha hii

    Jamaa kakumbuka kuvaa tai kasau sox.
  12. Jamesh

    Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

    hahahahahaah. Yaani umeshaanza kuweka vizingiti? LOL
  13. Jamesh

    Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

    hilo sibishi.....inawezekana kabisa kabisa tukawa na chemistry na mwanamke fulani na wala sina attitude hiyo. Tatizo hapa ni muda, uzee upo karibu na mimi napenda wakati nasubiri kujaaliwa huyo huku naendelea kulea sababu baadaye unaweza kuwa umeshazeeka ndio unajaaliwa wa ubani wako vipi...
  14. Jamesh

    Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

    ahaaa! njia zozote zile bora mtoto apatikane.
  15. Jamesh

    Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

    Ndio nafahamu na bado napiga goti kumuomba. Maombi kwa Mungu yanaweza yakajibiwa haraka sana au baada ya milongo kadhaa kwa hiyo bado sijakata tamaa kwa hilo.
  16. Jamesh

    Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

    Kila mtu na bahati yake. Kama hujajaaliwa unaweza kushtukia miaka hamsini hiyo na bado unategemea utampata tu.
  17. Jamesh

    Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

    kutuma nini hiyo?
Back
Top Bottom