Landrover discovery inahitajika.

Landrover discovery inahitajika.

Jamesh

Member
Joined
Jul 15, 2008
Posts
31
Reaction score
2
Wakuu nahitaji kununua Land rover Discovery ya diesel iwe ya kuanzia mwaka 1997 na kuendelea. Iwe kwenye hali nzuri, Ofa yangu ni Tsh 9milioni.
 
TDI au TD5? Kwa pesa hiyo utapata TDI ambayo haitakuwa nzuri. Nakushauri ongeza pesa ununue TD5
 
TDI au TD5? Kwa pesa hiyo utapata TDI ambayo haitakuwa nzuri. Nakushauri ongeza pesa ununue TD5

Asante mkuu kwa ushauri, mimi sio mtaalamu sana wa magari lakini kwa nini unasema TDI sio nzuri kuliko TD5? zina tofauti gani? Je TD5 inaweza ikapatikana kwa bei gani maana bajeti yangu sio kubwa sana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom