Search results

  1. Dengue

    Mashine za maji

    Bei gani?
  2. Dengue

    DAR: Adaiwa kumuua mlinzi wake Pugu, baba yake naye auliwa

    Huyu mganga noma. Katoa kafara ya mlinzi wake na baba yake mzazi ili ajiongezee nguvu katika fani yake.
  3. Dengue

    Lindi mvua kila siku, Mkoa uliopo inapigaje?

    Hata sifahamu. Tumuulize ndege JOHN
  4. Dengue

    Ubovu wa barabara ya Mbagala Kiburugwa

    Kwamba wao CUF ngangari 😃😃
  5. Dengue

    Ubovu wa barabara ya Mbagala Kiburugwa

    Huku Kinyelezi tunapata tabu sana. Hapa Majumba Sita Jucntion njia imefungwa yapata miaka 2 hatuoni dalili yoyote ya kufunguliwa. Na hawa Yapi Markez hawaonekani site. Yani ni mateso mtindo mmoja. Ili ufike Nyerere road inabidi uzunguke Gongo la Mboto. Ni shida sana.
  6. Dengue

    Lindi mvua kila siku, Mkoa uliopo inapigaje?

    Poleni sana wakazi wa Lindi. ndege JOHN tupe updates hali ikoje. Barabara inapitika kuelekea Mtwara?
  7. Dengue

    Foleni ya leo barabara ya Mandela sio poa

    Hakuna hata dalili ya kukamilika. Wanatesa watu tu. Inakera sana.
  8. Dengue

    Natafuta Mteja wa pumba laini

    Pumba laini ya mpunga au mahindi au ngano? Pia unapatina mkoa gani? Wapi?
  9. Dengue

    Natafuta cooler box kubwa

    Ukipata nami nijulishe
  10. Dengue

    Tukisema kazi imewashinda tutakuwa tumekosea?

    Ishu ni hakuna anayejali kama jina lako tu.
  11. Dengue

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    Kwato za punda zinang'aa kama zimepigwa kiwi 😃😃😃
  12. Dengue

    Soma kisa cha kuchekesha cha majamaa zangu

    Huyu jamaa ni jagi kabisa.
  13. Dengue

    Ajira za wahudumu wa treni ya SGR zilitangazwa wapi?

    Kabisa, watoto wa form hawa kabisa
Back
Top Bottom