Search results

  1. D 007

    South Africa Airlines mbioni kufilisika.

    Kwa mujibu wa ripoti zilizochunguzwa na kuwasilishwa na Serikali ya Zuma Bungeni Shirika la Ndege, South African Airways liko mbioni kufilisika. Shirika hilo limekuwa likijiendesha kwa hasara kwa miaka 7 mfululizo na karibia litashindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wake. Shirika limeomba...
  2. D 007

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Its not my fault lakini..they need to fix my phone for their own cost..
  3. D 007

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Kuna solution for this problem??
  4. D 007

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Thanks..so nani amesababisha hili tatizo maana b4 update simu yangu nilikuwa naitumia vzr...niwashtaki hawa customer service or??
  5. D 007

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Mimi na samsung S7 .. ilikuwa version 6..nikapelekea jamaa wa customer service pale kkoo waniweke version 7...cha kushangaza baada ya kufanya update simu yangu ikapoteza network na imei inayosoma nitofaut sio iliyopo kwenye simu...msaada please ..wamekaa na simu yangu mwezi sasa
  6. D 007

    Gari Rav4 namba T710 DGN iliyoibwa siku ya Jumanne

    Kaka kila taarifa nafuatilia kwa makini.. hata kuwepo mjini bado kuna uwezekano mkubwa..ushirikiano ndo muhimu.asante
  7. D 007

    Gari Rav4 namba T710 DGN iliyoibwa siku ya Jumanne

    Nimepigiwa simu sa 8 usiku na kupewa taarifa taratibu nyingine zilifuatwa mkuu
  8. D 007

    Gari Rav4 namba T710 DGN iliyoibwa siku ya Jumanne

    Taarifa kwa polisi..sisi ndo wa kusaidia polisi kaka wenyewe hawawez fanikiwa kwa urahisi..
  9. D 007

    Gari Rav4 namba T710 DGN iliyoibwa siku ya Jumanne

    Ni wazo lako pia mkuu...
  10. D 007

    Gari Rav4 namba T710 DGN iliyoibwa siku ya Jumanne

    WIZI.....WIZI .............Salamu wandugu! Gari Rav4 yenye namba T710 DGN iiliyoibwa jummane iliyopita imeonekana MWANZA maeneo ya ngudu ikiwekwa mafuta TABASAMU PETROL STATION usiku wa alhamis kwa yeyote atakae iona popote tunaomba ataoe taarifa police au kwa namba hizi Voice call 0714876647...
  11. D 007

    Gari Rav4 yenye namba T710 DGN imeibiwa usiku wa kuamkia leo

    ukonga nyumbani ikiwa imepaki usiku wa kuamkia leo...banana/kipunguni A
  12. D 007

    Gari Rav4 yenye namba T710 DGN imeibiwa usiku wa kuamkia leo

    WIZI.....WIZI .............Salamu wandugu! Gari Rav4 yenye namba T710 DGN imeibiwa usiku wa kuamkia leo. kwa yeyote atakae iona tunaomba ataoe taarifa police au kwa namba hizi 0713 119 923 au Voice call +255 714876647
  13. D 007

    Series (Special thread)

    NARCOS '' ndo habari ya mjini must watch
Back
Top Bottom