Tatizo unafikilia kusoma uje uajiriwe bali sio kupata maarifa na ujuzi. Nenda kasome yawezekana pia ukaajiriwa kama unavyotamani kila mtu na bahati yake
Ungama dhambi zako, fanya toba ya kweli, funga kula na kunywa ili ghazabu ya ya Muumba isishuke juu yako kwa uzinzi na uasherati. Suala la kuongezeka joto ni la kidunia likitokana na maendeleo ya kibinadamu kama viwanda, mashamba, makazi, barabara na uchafuzi wa mazingira
Bodaboda ni kazi nzuri tu tatizo linaanzia pale wanaposhindwa kufua take sheria za barabarani na wengi wao hawana leseni ya kuendesha vyombo vya moto na wengi wao wana nyendo na sifa mbaya za umalaya, ulevi, uvutaji wa shisha na kutokuwa na elimu ya kutosha
Huyo mtoto ndio anaweza kuja kuwa msaada wako uzeeni, mara nyingi watoto waliokataliwa huja kuwa na maisha mazuri baadae. Tulia mpende mtoto kuna watu wengine wanakoswa watoto maisha yao yote na bado wanalea watoto sio wa kuzaa.
Hongera kwa kuwa muwazi kwake. Mwanamke kama bado hujapata pesa hata kama unampenda atasema unamtania na huna upendo wowote. Atakuthamini na kuwa mtiifu kwako kama una pesa, gari na nyumba
Mimi kwa sasa nashauli watu wenye akili wasome masomo ya sanaa watatoboa kuliko kusoma sayansi baadae kulalamika maisha magumu
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.