Search results

  1. L

    Jinsi CCM inavyoingamiza Mtwara

    umesahau kuwataja membe,chikawe na majaliwa
  2. L

    Waziri anapolima na suti

    hivi pinda ni waziri mkuu wa tanzania au wa rukwa na katavi tu? mwezi mmoja hauwezi pita bila yeye kutembelea mikoa hiyo. binafsi sijawahi kusikia ametembelea lindi au mtwara
  3. L

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    really commando-dar to masasi central star wifi nae born coast
  4. L

    Nafasi za kazi ndani ya jf......

    mkuu hii ni virtual organization kama ilivyo wikiliks haionekani physically
  5. L

    Amerudi

    mpe mzigo tena wewe
  6. L

    Hiki chuo jamani mmh!

    ni kawaida coc udsm inachukua wiki tatu
  7. L

    Nina wasiwasi na elimu inayotolewa Kampala International University tawi la Dar

    unashangaa KIU? me nawajua watu kibao walifeli form 4, hawana credit 3, na sasa wako morogoro muslim university kuna wengine nao ni failure lakini wanachukua bachelor mzumbe. sasa kwa mtindo huu ni bora serikali ikatangaza rasmi kua kujiunga na university hata failures ruksa
  8. L

    What is your unforgettable movie?

    bridge of dragon - dolphy lundergren
  9. L

    Kuelekea miaka 51 ya Uhuru Tanzania: Utasherehekea vipi?

    subiri gwaride na mizinga 21 ya jeshi
  10. L

    Usaili udom vipi?

    asante mkuu, nilikua sielewi hicho kitu si unajua arrangement za schools and colleges zinatofautiana toka chuo kimoja hadi kingine
  11. L

    Usaili udom vipi?

    wadau udom wameita watu kusailiwa ni wa skuli of humanities angalieni kwenye web yao. naombeni mnijulishe kama political science ni part of skuli of humanities wakuu
  12. L

    udom wameita watu kwenye usaili- ni school of hummanities

    ingieni kwenye web yao. hivi school of humanities inajumuisha na political science wakuu?
  13. L

    Biashara matangazo bana!

    nakumbuka sana eneo hilo coz ilikua njia yangu nikiwa napiga shato pori
  14. L

    Mh. Pinda tumekukosea nini watu wa lindi na mtwara?

    tokea ushike wadhifa wako mwaka 2008, nimekuwa nikifuatilia utendaji wako wa kazi hususani ziara za kuhamasisha maendeleo na kuwaamsha watendaji waliolala huko mikoani na mawilayani. nilichogundua ni kwamba umejikita zaidi kutembelea katavi na rukwa. ni ukweli usiofichika kuwa hauwezi kaa miezi...
  15. L

    Nyerere na Kenyatta....naulizia swala la afya ya Rais.

    afya ya nyerere ilikua ya mashaka bcoz alizeeka mapema sana nadhani kutokana na concentration ya mawazo. kumbuka kenyatta amezaliwa 1880's lakini ukiwatazama pichani unaweza hisi wanalingana
  16. L

    Ukitaka kujua viongozi wa kisiasa wamefanya elimu yako kuwa ya kichina jibu swali hil

    dad, how many children born before me in our family?
  17. L

    TBC ni chombo cha serikali au ni mali ya CCM?

    TBC ni ya CCM, TPDF ni ya CCM, POLICE ni tawi la UVCCM hatuna budi kuvirudisha hivi vyombo kwenye mikono ya UMMA
  18. L

    What is your unforgettable movie?

    bridge of dragon - dolphy lundergren
  19. L

    Kwanini Kenya wanapenda sifa sana?

    NasDaz kwa hiyo nyerere ndo aliwaambia muuze madini kwa royalty ya asilimia 3? nyerere ndo amewaambia mfiche matrilion ya shilingi nje wakati watoto wenu wanakaa chini mashuleni? je nyerere anahusika na wizi wa EPA? je nyerere ndo amewaambia muingie mikataba ya gesi bila bunge kuridhia? nimetaja...
  20. L

    Mkopo wa masters

    nina mashaka we si mtanzania
Back
Top Bottom