Search results

  1. I

    Gari tatu (3) za Toyota ambazo Design yake ilikua from Future

    Viyz nayo tako lake hata huwa silielewi.
  2. I

    Msaada juu ya Escudo

    Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Napenda kujua,maana mara nyingi escudo zenye shape hii,ona picha huwa ni v 6 cc 1990.Je kuna zenye Cc 1590. Na je kama watalaam wa magari mnanishauri kununua hiyo,maana ni gari ya zamani sana.Ninahofu upatilkanajinwa spare
  3. I

    Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

    Kuwa mmarekani haimanishi woye wana akiki na mawazo sawa.Amerika kuna waislam swafi,pia kuna misikiti ya mashoga,kuna wakristo safi,pia kuna wakristo mashoga,kuna wanaoamini Mungu,kuna wqpaganai,kuna freemasons,kuna wapigania haki za binadamu,kuna makundi ya mamafia.n.k. Kiufupi hoja yako ni...
  4. I

    Marekani watoa sharti kwa Qatar kwamba HAMAS wafukuzwe mara moja kama watakaidi azimio la sasa la Israel

    In Islam you cannot separate religion snd politics,they are one.
  5. I

    Uwindaji wa Tembo Endulen Umedhoofisha Diplomasia na Kenya

    Mi naona wawamalize wote tu kusiwe na kitu.
  6. I

    TTCL kufanya maboresho ya mifumo

    Linaboresha mitambo gani sasa.kwani wanatumia hata miyambo lweli hawa jamaa. Hivi wqnajihusisha na nini kwanza.
  7. I

    Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

    Alafu utasikia ohhh sijui Mo na Bakresa ni vichwa vya biashara,wakati ni wanyonyaji wakubwa.Utajiri wao unatokana na dhuluma na jasho jingi sana la walalahoi.
  8. I

    Ipi gari bora kati ya Carina Ti au Premio old model?

    Braza,Bandugu apo keshasema Old model.Ww unamtolea toleo lililofuata.Unqmtafuta ubaya.
  9. I

    Peter Kibatala: We need a Police to Police the Police

    Mbona nao yanayolalamikiwa huku hata kwao ni yale yale,Rushwa,uonevu,ukoloni mambo leo.
  10. I

    Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

    Mm naona ukimlinganisha na Magufuli utakuwa unakosea.Huyo anaenda kasi sana kuliko Magufuli. Magufuli bla bla zililiwa nyingi dana,kuna mambo mengi sana ya msingi yalimshinda kabisa,mfano alishindwa kabisa kujenga viwanda vya kuchenjua dhahabu,ikawa inaenda nje kama kawaida,alishindwa kabisa...
  11. I

    Biblia wanayotumia Wakotoliki na wanayotumia Walutheri pamoja na madhehebu mengine ni tofauti?

    Jamani Katoliki ndo nn.Au mnaamanisha Catholic,Catholic maana yake mahali pote.Sasa mnamaanisha nn mnaposema mahali pote Alafu tutofautishe Catholic Church na Roman Catholic Church.Hivi ni vitu viwili tofauti.Catholic Church ni kanisa la Mungu la mahali pote,hili siyo jengo wa shirika.Ila jumla...
  12. I

    Biblia wanayotumia Wakotoliki na wanayotumia Walutheri pamoja na madhehebu mengine ni tofauti?

    Brother,unajiabisha.Kuna majitu hapa yamesoma church History objectively.Yakasoma Theology objectively.Yanajua maeneo yenye ukinzani bila kuathiri imani,yenye ukinzani kwa kuathiri imani.Yanajua perspectives zote.Yanakucheki tu na elimu yako ya divinitu ya foem six.Yanaku enjoy tu. Kwanza...
  13. I

    Kabla ya kununua gari, hakikisha unajua bei za spea za gari unalotaka kununua

    Nilikuwa nafikiria kubadilisha gari.Nimefanya ka utafiti kaangu kadogo,gari ambayo mafuta ni wastani,vipuri vinapatikana kwa urahisi.Ina mwendo na stability.Naona hiyo.Najichanga changa,si unajua sisi makabwela.
  14. I

    Kabla ya kununua gari, hakikisha unajua bei za spea za gari unalotaka kununua

    Umeongea jambo la maana sana.Ndo maana tunakomaa na vi Carina T.I .Siyo kwamba hatupendi ndinga za maana.Shida ni spare baba.Unazunguka kariako yoote.
  15. I

    Wapalestina Gaza washangilia Iran kuipiga Israel. Chakula chaanza kupatikana masokoni

    Mm nashangaa watu walivyo waongo,Israel imechakazwa vibaya sana.Miji lama telaviv sasa hivi magofu tu.Mabomu yote yalipenya,yamedakwa 1% tu
  16. I

    Natafuta mke kiportable

    Kwani viportable ni shida.
  17. I

    Natafuta mke kiportable

    Jamani,kila mtu na vipaumbele vyake. Natafuta mke kiportabkr lakininawe na tako.Elimy kuanzia form 4 angalau. Awe na mtoto au laa,mm sina shida.Dm me
Back
Top Bottom