Search results

  1. Heavy equipment

    FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    Benchinka usiondoke Tanzania mpaka ukutane na [emoji360][emoji2785] na pakome [emoji113][emoji123][emoji113][emoji3448][emoji172][emoji91][emoji91]
  2. Heavy equipment

    Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Hicho ni kisa cha kweli[emoji120][emoji120] "Aliyefanya umafia huo tajiri mmoja wa kichaga na mke wake alikuwa kajazia inye jamaa alichezeea kifiro mpaka utumbo ukatoka" Kuna jamaa yangu alikuwa na hiyo vedeo ila tulishapotezana nae katika harakati za kusaka maisha.... Vedeo ilitisha....japo...
  3. Heavy equipment

    Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Azizi?

    Huyo ndiye anajua akiondoka Samia nani achukue hii nchi ya danganyika[emoji375][emoji375]
  4. Heavy equipment

    Ubinafsi, uroho na tamaa za watawala sheria ya mafao kustaafu katika utumishi wa kisiasa

    UBINAFSI, UROHO, TAMAA, WATAWALA! Serikali imepeleka bungeni muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali ambayo kuna marekebisho katika sheria 10 ikiwepo sheria ya mafao ya kustaafu katika utumishi wa kisiasa. Muswada unapendekeza kiongozi aliyeshika nafasi ya ofisi ya Rais na kustaafu...
  5. Heavy equipment

    Mchengerwa: Yeyote atakayejaribu kuichezea Serikali hatutamuacha salama

    Huko mloka ufukara zaidi ya ufukara
  6. Heavy equipment

    Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

    Endelea kuliombea taifa ili viongozi wapate nguvu za kuuza vilivyo baki maana ngorongoro na bandari ni vya waarabu
  7. Heavy equipment

    Rais Samia: Katiba mpya hadi watu wasome waelewe maana ya katiba hata hii tuliyonayo

    Ngojeni niuze nchi ndio katiba ije Katiba mpya ije huku sijachuma chochote jamani...
  8. Heavy equipment

    Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa

    Kama kutenge kapewa $50,000 Je majaji wale?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. Heavy equipment

    Rais samia: Vijana wasiende Ulaya kusaka maisha bora

    Kila kaya 10 Zanzibar kuna kaya 6 zina vijana wapo _Oman _Saudia _kuwait
  10. Heavy equipment

    Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

    Hakuna kitu kibaya kama "yeye ni raisi wa mpito kuuza bandari"
  11. Heavy equipment

    Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

    "Mimi hapa na tena nakuuliza wewe na raisi wako mtanipaje kazi ambayo sijaiomba?
  12. Heavy equipment

    Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

    "Niliye simama hapa ni rais jamuhuri ya muungano wa Tanzania"
  13. Heavy equipment

    Raisi samia: Nadhani hatuchukui hatua. Ni nani wanaotakiwa kuchukua hatua?

    CCM HATUFUNGANI NA SIYO UTAMADUNI WETU[emoji120][emoji120]
  14. Heavy equipment

    Kwa aliyoyasema Rais Samia kuhusu ATCL, ni vyema Mkurugenzi akajiuzulu mapema kabla hajatumbuliwa

    "Lazima waibe sana maana kazi nyingi za serikaini siyo za ushindani unapewa bure"
Back
Top Bottom