Search results

  1. Lokaseven

    Elimika ewe Mtanzania mwenzangu

    Pole Na Majukumu Ya Kila Siku Mtanzania Mwenzangu, Vipi Umeshapata MAISHA BORA Kama Walivyokuahidi CCM 2005 Na 2010? Anayekuuliza Si Mwanasiasa, No! NiMwanaharakati!! Hebu Jiulize Hawa Wanaotoa Ahadi Wanakuonaje Wewe? 1, Ni ----- 2, Ni Mjinga 3, Mpumbavu 4, Mwehu 5,Mwendawazimu 6, Una Ubongo Wa...
  2. Lokaseven

    Cheki aibu hii

    Hii ni aibu kubwa
  3. Lokaseven

    Familia yangu inani lazimisha kuoa

    Naitwa manyama ni mtoto wa pili katika familia ya mzee kapanga familia ya mzeee komba ni mda mrefu sana familia yangu imekua ikinisumbua juu ya kuoa sasa mimi naoa kama utumwa vile nataka niendelee kula ujana. Naombeni ushauri wenu nifanyaje juu ya hili.
  4. Lokaseven

    Mwenge una maana gani katika nchi yetu?

    Wakuu samahani kwa hili jaman naomba kuuliza hvi Mwenge unafaida gani au unasaidia nn katika nchi yetu wakuu maana ukitua sehem na kukesha basi ujue hapo kila vitu vibaya hufanyika. Mfano ulevi, umalaya, wizi na matukio mengine kibao so naomba kuelimishwa zaidi kuhusu hili. MIMI...
  5. Lokaseven

    naomba kuuliza

    je,ni halali kwa mfanya biashara anae tambulika na TRA kulipia ushuru wa bishara yake kwenye serkal ya mtaa?..
  6. Lokaseven

    natafta kaz yoyote ya kufanya

    natafta kaz ya kuendesha gar au hata ukonda kama ipo naomba unchek kwenye no. 0655549389
  7. Lokaseven

    Natafta kaz ya kuendesha gar au hata nkipata kaz ya ukonda sawa tu.

    Mimi kijana mchapa kaz sana natafta kaz ya kuendesha gar
  8. Lokaseven

    Je,ni haki kwa serkali kuwalazimisha vjana kucheza mjambo?

    Hku kwe2 serkal ya ccm inatulazimisha cc vjana kucheza mgambo na usipo enda kucheza mgambo waki kukamata wanakubuluza mpaka m2 akikuangalia uson hauelewek m naomba kujua labda mgambo unafaida gan kwetu?
  9. Lokaseven

    Na mimi ni mwenzenu tafadhari nikalibishen jaman

    Natafta rafik wa kuchat nae
  10. Lokaseven

    Natafta kazi ya kuendesha gar

    M n kjna mchapa kaz na pia n msanii wa mzk wa kizaz kipya napatika ktk mkoa mpya wa njombe natafta kaz ya kuendeza magar na namba yangu ya cm n.0655549389
Back
Top Bottom