Search results

  1. G

    Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Mi huwa naweka mitego kwa wale wauzaji wa vitabu used posta. Ikitokea wamevipata wananipigia. Ila sijabahatisha any of these ingawa hadithi yake iko vivid ka nimesoma jana
  2. G

    Kesi ya Agnes Doris Liundi - Nini hasa kilitokea?

    Hii habari ya kuachiwa na Nyerere baada ya miaka 7 imenishinda kuelewa, ukihesabu kesi iliamuriwa 1979 ukijumlisha 7 inakuwa 1986 kipindi ambacho Nyerere hakuwa Rais bali Mwinyi. Can somebody clarify
  3. G

    Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Eddie Ganzel 1. Mauaji ya kishenzi 2. Sikunyongwa 3. Unyama wa mafia sehem ya kwanza 4. Unyama wa mafia sehem ya pili 5. Unyama wa mafia sehem ya tatu 6. Unyama wa mafia sehem ya nne Hivi vitabu vilikuwa vinafuatana, of course kila kitabu kinafika mwisho hulazimiki kusoma kinachofuata
  4. G

    Tamasha la mwendokasi: Watu walikuwa wachache kuliko matarajio

    Niko youtube naangalia baadhi ya video chache za mwendokasi festival.... naona kama wamekula za uso maana watu ni wachache tofauti na matangazo na mategemeo
  5. G

    Madawa ya Kulevya: Meli ya Tanzania iliyobeba unga wa Sh. Bilioni 123 yazua kizaazaa nchini Italia!

    Sa mbona hawajawasema hao waliokamatwa ni raia wa wapi?
  6. G

    John Magufuli: Ninautamani urais!

    mbona Magufuli mwenyewe kasema hajawahi kusema haya? isije ikawa huyu bwana anamwekea baba wa watu maneno mdomoni
  7. G

    Ndugu wassira aliposema kuwa CHADEMA LAZIMA IFE ALIKUWA NA DHAMIRA IPI?

    i see... u line of thinking inasikitisha na haiko well informed kabisa. umeshawahi kukisikia chama kinaitwa CCJ na sijui CCK? havijafa? wakina Mpendazoe wamekufa? acheni utoto jamani. na haya mambo ya moderator kuita watu senior members halafu wanafikiria kibwege namna hii inapunguza thamani ya...
  8. G

    Vitambulisho vya taifa, vipo havipo? Kwa anaefahamu anijuze!

    wizara ya mambo ya ndani wote wanavyo mkononi
  9. G

    Mwigulu, CCM hili mnalijua kweli?

    failed to connect hayo maneno yanayotoka kwenye katiba ya ccm na mienendo ya mwigulu. mi nadhani mwigulu is only reacting to cdm politics za kuifanya ccm chama kinachojihusisha na matendo ya kigaidi. ka spika alivyosema tu "mkuki kwa nguruwe"
  10. G

    Ndugai: Mawaziri kutokuwepo Bungeni wakati hoja inajadiliwa ni Sawa!

    sio kwamba wizara zina watendaji ambao ndo wataalam ambao hufuatilia bunge muda wote na hao ndo wana wajibu wa kuwasaidia mawaziri kujibu hoja? uwepo wao nadhani ni wa kisiasa zaidi lakini kazi inafanywa na behind the curtain staffs
  11. G

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    mi nahisi kama vile kutakuwa na wabaya wake ambao wame take advantage ya ugomvi wake na serikali kumfanyia vibaya kwani wanajua wanajamii hawawezi kuangalia zaidi ya ugomvi wake na serikali
  12. G

    Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

    aisee, lakini nadhani hiyo sio dawa. kwanini asisaini halafu kama ana malalamiko aende mahakamani. mbona wabunge wengi walishaangushwa mahakamani na uchaguzi kurudiwa.
  13. G

    Matokeo ya majimbo mbalimbali haya hapa.

    looks promising
  14. G

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    haya mradi wa maralia lazima ujadiliwe bungeni safari hii...........
  15. G

    Elections 2010 HUJUMA dhidi ya SLAA katika mdahalo wa JK leo

    mi nadhani kila kitu kinafahamika. tumechoka kutawaliwa na chama kilichoshindwa kumhudimia mtanzania wa kawaida. we need a change, lets not be fooled jamani
  16. G

    Kwenda Sauzi bila VISA kuanzia NOVEMBER

    dah, hivi wachambuzi mnasemaje. tufurahie au tuogope?
  17. G

    Mbinu Chafu za CCM Jimbo la Ubungo!

    jamani tuache kuanza kutoa visingizio kabla ya siku yenyewe. hii inaonyesha udhaifu na kuanza kukubali kushindwa
  18. G

    Kenya's Day of Pride; The Birth of a New Republic

    Mbona kama bwana mkubwa Raila anashangiliwa sana kuliko Moi Kabaki? what does it mean?
Back
Top Bottom