Search results

  1. M

    Mgaya wa TUCTA aliwekwa mfukoni na JK, aulizwa nini kimemotekea?

    Kwa ilivyo sasa Mgaya anamng'oa huyu.
  2. M

    Wafanyakazi wa Dar kuandamana kushinikiza bei ya umeme kushuka!

    Katika Mkutano wa TUCTA uliofanyika Msimbazi Center TUCTA wamewataka wanachama wao kujiandaa kugoma iwapo bei ya umeme haitakuwa imeshushwa kufikia Aprili Mwaka huu. Na TUCTA wametaka Serikali kusikiliza kilio cha wafanyakazi badala ya kuwazidishia makali ya maisha kila siku iendayo kwa Mungu.
  3. M

    Avatar hii ya Avanti inatafsiri nini Siasa za Tanzania

    Wengine wanatafsiri eti katika siasa twapaswa kupendana na wapinzani wetu Wengine, twapaswa kuvumiliana, wengine twapaswa kuheshimiana, wegine kuaminiana, nk. Wewe unaisomaje picha hii katika kuihusisha na siasa zetu za TZ?
  4. M

    Mwakyembe anavyomlinda Kijazi wa TMAZ

    Yaani mishahara imeingia tar 7 January 2013 jioni.
  5. M

    Mwakyembe anavyomlinda Kijazi wa TMAZ

    Issue sio kwamba mfanyakazi wa chini analipwa mshahara mdogo, lah! ni kucheleweshewa mshahara. Mbona Taasisi zingine za Serikali hata mishahara ikichelewa wanatumia fedha zao ambazo mishahara ikitoka hurudishwa. Iweje huyu mama yeye fedha zinazokuwepo atumie yeye tu kwa safari badala ya kuwalipa...
  6. M

    Mwakyembe anavyomlinda Kijazi wa TMAZ

    We uliyejibu hapa najua ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala ambaye mnalipana kinyemela na kuwaacha wafanyakazi wa chini wakinyanyasika. Jitambue acha unyonyaji!
  7. M

    Mwakyembe anavyomlinda Kijazi wa TMAZ

    Mpaka sasa wafanyakazi wake hawajalipwa na Yeye kila mwezi ni lazima atumie pesa za Taasisi kwenda Ulaya. Wafanyakazi wamelalamika hadi kwa Waziri lakini Waziri kauchuna tu. Mtindo wa kulindwa na Waziri kunaifanya Mamlaka ya Hali ya Hewa kuwa wakiwa na ndiyo maana kuna wkt kazi za utabiri...
  8. M

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Hulali mdada! Au ndiyo mmemaliza kunanihii...?
  9. M

    Baadhi yetu kwa viongozi wetu wa CHADEMA, Mbowe sio kiongozi wa kutubadili

    Hata usemeje kuna ukweli Mbowe ni mchumia tumboni.
  10. M

    Habari ya Kusikitisha: Janeth Mbene na Double Tree Hotel wanaendeleza unyanyasaji

    Muda huu hapa Masaki, yule kijana ambaye niliwahi kutoa taarifa kuwa anataka kudhulumiwa haki yake amevamiwa tena na wafanyakazi wa Manispaa ya Kinondoni na wameendelea kubomoa. Kijana huyu juzi J'pili alikamatwa akawekwa polisi lakini baada ya kujieleza jana akaachiwa bila kufunguliwa...
  11. M

    Open university acheni ubabaishaji

    Mmetoa tangazo kwamba mtatuletea majina ya watakaomaliza chuo na kuwepo kwenye mahafali tarehe 16 Oktoba 2012. Mbona mpaka leo hii majina hayajatoka? Mnategemea sisi tuliopo Kigoma tukipata majina hayo siku 5 kabla tutawezaje kuja kuhuddhuria? Mbona mnazidi kutunyanyasa, matokeo yetu yenyewe...
  12. M

    Kashfa - Naibu Waziri Janeti Mbene ameanza kutumia madaraka yake vibaya

    Nimewawekea attachment hapo juu angalienei wenyewe.
  13. M

    Kashfa - Naibu Waziri Janeti Mbene ameanza kutumia madaraka yake vibaya

    Nielekeze namna ya kuattach nitume documents sasahivi
  14. M

    Kashfa - Naibu Waziri Janeti Mbene ameanza kutumia madaraka yake vibaya

    Huyu Naibu Waziri wa Fedha Janeti Mbene ameanza kutumia vibaya madaraka yake kwa ajili ya kujinufaisha yeye binafsi. Hivi karibuni Naibu Waziri huyu ameuelekeza uongozi wa Manispaa ya Kinondoni kwenda kubomoa nyumba ya kijana mmoja maeneo ya Masaki karibu na Double Tree hoteli kwa kusingizia eti...
  15. M

    Kutoka masaki

    Nimekuwa mfuatiliaji wa zaidi ya miaka mitano wa mtandao huu, sikuwahi fikiri kama ipo siku nitaamua kuwa mwanachama kwa sasa nimeamua niwe mwanachama shiriki ili niwe nawaletea nyeti za Masaki. Kwa kuanzia nakupa moja kali inayomhusu Naibu Waziri Janeti Mbene.
Back
Top Bottom