Search results

  1. kiboko bin mkwaju

    Nataka kugombea ubunge.

    DU!jamani naomba muwe wapole, pia tumieni lugha nzuri kidogo kwani halikuwa lengo langu kukosea namna ile.Najua kwasehemu nimewakera na ndio maana nawaombeni msamaha,kumbukeni kwamba nimeomba toka kwenu ushauri na sikutarajia kupokea matusi na kukatishwa tamaa kama wengine walivyo sema. Kwa hili...
  2. kiboko bin mkwaju

    Bikira inanitesa

    Wewe dawa yako iko jikoni namuona israeli anakwita kwa kasi, naona kama kuishi umechoka. si kila mdada unaweza mchezea na kumuacha siku ipo nayo ime karibia utalia misili ya mtoto.
  3. kiboko bin mkwaju

    Nataka mchumba mzuri.

    Hellow waTz nataka mchumba mzuri atakaye nifaa, but hawa mabint nimeshindwa kuwaelewa kwani ina semekana kwamba wao huwa hawapendi bali hufunzwa kupenda na wanaume wanao wataka ,kama ni hivyo je nitampataje mke anipendaye kwa dhatiau nitamtambuaje mchumba anaye nipenda kwa dhat. Nilikuwa na...
  4. kiboko bin mkwaju

    Uanzishwaji wa shule.

    Ni ndoto yangu kujenga shule maishani mwangu,wadau na wataalamu mbali mbali wenye ufahamu juu ya uanzishwaji wa shule naomba mnijuze nini kina hitajika il kuanzisha au kujenga shule. Ni kiasi gani cha pesa niwe nacho ili kuanzisha shule.
  5. kiboko bin mkwaju

    Nataka kugombea ubunge.

    Nindoto yangu kugombea ubunge maishani mwangu.
  6. kiboko bin mkwaju

    Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

    Jaman sion kama kuna sababu ya kumpinga au kumkataa huyu zito,japo naye ana mapungufu yake. mapungufu hayo nikwasababu tu ni mwanadamu si Mungu so yeye asi kate tamaa na isiwe ni kufurahisha jamii naamini atapita kwani tusha choshwa na hawa mafisadi.
  7. kiboko bin mkwaju

    Netlog ninini?

    Du! wadau nashukuru sana mana nilishtuka mara nilipo ombwa kutuma kama dola 710, wakati mtu simfahamu naurafiki wenyewe umeanza from no where, nilijalibu kuwambia mimi ninamchumba but wanaendelea kuniita hny.
  8. kiboko bin mkwaju

    Netlog ninini?

    Wadau nisaidieni nipate kujua, nilijiunga na netlog, mda mfupi tu nikapata marafiki kede kede wakike wakiomba tuwasiliane kwa Email walizo nipa kisha wakaanza kudai wao baba zao washa kufa na nchi zao zina vita so wanataka mtu atakaye waoa na wanataka hamishia pesa zao kwenye accont yangu.ni...
Back
Top Bottom