Habari wakuu, kuna dogo anataka kuanza biashara ya kusajili line zote za simu kwa alama za vidole na kuuza line za simu.
Amesema kuna mtu alimwambia anatakiwa awe na mashine ambayo ipo kama simu inaitwa famoco.
Wenye uzoefu, msaada jamani.
Mkuu Chasha una maono makubwa sana katika tasnia za kulima na kufuga kibiashara. Ila wafugaji wa sungura tusiwalaumu sana maana walikua affected psychologically baada ya zile kampuni za kitapeli kuwalaghai na kuwauzia mbegu za sungura, mabanda, vyombo na vyakula kwa bei ghali na kuwasainisha...
Vyeti vinakuja kama umetoroka kipindi cha mwishoni maana picha za vyeti unavaa gwanda sasa mwanzoni unapata gwanda
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.