Search results

  1. daisyvicky

    Mashine ya kuchimba visima Morogoro!

    I think wapo mkuu,sijawahi watumia lakini naju wana offices karibu na kihonda bima/samaki samaki,superbyte ilikua ofisi ya jti zamani
  2. daisyvicky

    Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

    Mkuu mimi nna experience ya kuagiza na gnm na silent toka china,nipo mkoani,mzigo wangu ukifika nalipia kwa simu then wananitumia release order,unaomba watu wa warehouse wanakutafutia gari au boda depending na ukubwa wa mzigo,then kwa my case hua wananipelekea ofices za abood msimbazi na...
  3. daisyvicky

    Biashara ya kuprint picha/canvas

    Shukran sana,nafanya hivo now now
  4. daisyvicky

    Biashara ya kuprint picha/canvas

    Shukran kwanza nifanye hivo
  5. daisyvicky

    Biashara ya kuprint picha/canvas

    Oh basi nmeweka atachment inakinzana na nachotaka,nataka za kuprint picha za softcopy kwenda kwenye real picture kama hiyo
  6. daisyvicky

    Biashara ya kuprint picha/canvas

    Mkuu unaweza kutuelezea zaidi?
  7. daisyvicky

    Biashara ya kuprint picha/canvas

    Hata simjui mkuu,hii picha nmetumiwa na mtu tulikua tunadiscuss hii isue Niulizie basi details kwa mr Baraka
  8. daisyvicky

    Biashara ya kuprint picha/canvas

    Wakuu salam Nataka kufanya hii biashara Naomba mwenye ujuzi tushee Printer ya aina gani inatumika Materials Ujuzi Na upatikanaji wake Natanguliza shukran Nimeatach picha ya sample
  9. daisyvicky

    Ni sahihi kumpa dawa (coldril) mtoto mdogo wa miezi 2?

    Mkuu msimpe ni mdogo sana haishauriwi,wangu akipata mafua nakata vitunguu maji namuekea kwenye soks,vingine naweka kwenye sahani/kisosi kwenye kimeza ndani ya chumba alimo mtoto,haichukui muda mafua yanaisha. Na kuna Dr anashauri yakizidi yakiwa yanaziba pua apewe *saline drops*nimesahau...
  10. daisyvicky

    Finally nimepata Iphone 12 pro max!

    Mkuu 11 pro max yako huiuzi?
  11. daisyvicky

    Uhamiaji Tanzania, Mbona gharama za passport zimepanda Sana

    Mkuu mi ninayo ya kijani validity yake 10 years ni ya 2015~2025 na ninaitumia mpaka sasa
  12. daisyvicky

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Ushuru upo,mnaelewana na afisa tu inategemea unaimport nini,unaweza fanya mwenyewe au unampa konda anafanya malipo kwa niaba yako
  13. daisyvicky

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Kampala hakuna shida kabisa,ukipanda gari za friends ukifika tu ofisini kwao kuna watu wa hotel inaitwa kilimanjaro inn wanakuja kupokea wateja,hiyo hotel ni nzuri coz ipo katikati ya maduka zipo na nyingine kama kk trust etc Viatu mostly vipo jengo la capital ground floor na majengo mengine...
  14. daisyvicky

    Msaada: after surgery complication

    Mtu wangu wa karibu alifanyiwa operation ya tumbo mwaka juzi,mwaka huu alipata maumivu makali sana hayasikii dawa,alikutwa na isue wanaita wenyewe adhesion ,ikabidi afanyiwe tena operation ya emergency kurekebisha as walisema inamuweka kwenye risk ya kupata more complications like utumbo...
  15. daisyvicky

    Uliza swali lolote juu ya afya ya ngozi

    Aksante mkuu,,naona angalau,,napaka vaseline na parachute yale mafuta ya nazi,,naona vinapotea taratibu,,nahisi sirudii tena waxing
  16. daisyvicky

    Uliza swali lolote juu ya afya ya ngozi

    Mkuu salam ZAGANZA ,nilifanya *hot full leg wax* sasa sehemu husika ni etokwa kama na vipele vidogo vidogo vingi,,like vile kwenye ngozi ya kuku baada ya kumnyonyoa ,,nini shida?kuna kitu nlitakiwa kufanya after waxing?iliku mara yangu ya kwanza,je natibu vipi hivo vipele,,uzuri haviumi japo...
  17. daisyvicky

    Natafuta agents wanaosafirisha watu Israeli from Dar es Salaam

    Hua naona watu wanaoitwa kinyago travel agents/tours wanafanya hiyo kazi,,hua nawaona instagram,,hope ukigoogle utapata contacts zao
  18. daisyvicky

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Website ya tcu kuna matangazo matatu ya scholarship wadau,,ya chinese gvt na New zealand
  19. daisyvicky

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Wakuu nimesoma thread nzima mdo naimaliza,,nimeona kati ya hizo simi hizi mbili moja wapo itanifaa,,napenda sana picha nzuri so mnishauri kati ya MI MIX 2 au MI6?kuna mtu anakuja nataka kumuagiza ASAP @chiefmkwawa msauziy Cheers
  20. daisyvicky

    Nauli ya kutoka Tanzania kwenda China kwa ndege

    Oman air ni cheapest,nimewahi safiri mpaka kwa usd 452 go and return,,wanakua na promotions pia mara nyingi,wanatoa kg 50 plus 7,,check website yao kuna offer pia inaisha leo as cheap as 496 usd kwa go and return from Dar to Guangzhou
Back
Top Bottom