Search results

  1. upupu

    Pesa ni chafu kuliko unavyofikiri

    Hatari aisee Sent from my HTC_M910x using JamiiForums mobile app
  2. upupu

    Umewahi kuwamudu sisimizi kwa njia ipi?

    Je unataka kuwaua au kuwakimbiza tu eneo hilo? Kama kuwakimbiza dawa yao ni simple sana, we mwagia poda tu sehemu husika, hawafiki ng'o, au hata kama walikuwepo basi fasta lazima wakimbie. Mfano hapo kwenye kijiko chako cha gesi, uwe unambagilia kuzunguka, sisimizi hakanyagi. Jaribu hiyo utanipa...
  3. upupu

    Hivi STAR TV ndio imekufa au inajiandaa kulipa kodi ya TRA?

    Mbona dira ya dunia inaonekana? Mi huwa naona, kipo. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. upupu

    Polisi: Marufuku Waandishi na Wananchi kukusanyika Polisi watuhumiwa wakiitwa kuhojiwa

    Kuzuia wananchi wasio na kazi kukusanyika vituo vya polisi ilikuwa ni sahihi, ila si kuzuia waandishi wa habari ambao wana vibali vyao vya kufanya kazi
  5. upupu

    Haya ni matunda gani jamani na yanaliwa au hayaliwi nimeona sehemu nikaamua kupiga picha

    Tanga yanaitwa makoche, miti yake inaitwa mikoche, matunda yanaliwa, ni yana nyuzi nyingi sana, na kokwa yake iipo kama nazi, kwa maana ile nyama na maji, na matunda haya hupendwa zaidi na nyani na tumbili.
  6. upupu

    Binti pekee wa Michael Jackson asema babake aliuawa

    mbona mtoto mzungu
  7. upupu

    Tetesi: Kuna viongozi wanaolipwa na serikali ya Misri ili tusitumie maji ya ziwa Victoria

    Hata uganda wanayatumia kwa umeme mto nile, nasasa wana mradi mwingine "victoria falls" nao utakuwa umeme.
  8. upupu

    Video: Rais Dkt. Magufuli akiendesha moja ya mabasi ya Mwendokasi wakati wa uzinduzi

    Kila asiyekuwa na leseni akikamatwa na traffic police akisema anajaribu tutaelewana kweli?
  9. upupu

    Mwanamke ninayempenda kanikutanisha na bwana yake, nimetukanwa kama mbwa

    Hahahahaaaaa, humu ndani kuna wehu sana, daah.
  10. upupu

    P-Funk: Yule angekuwa binti yangu, mngeona video mbili

    Kauli zake P funky zitamkosesha mkwe
  11. upupu

    Majeshi yenye nguvu zaidi duniani kwa sasa

    Korea kaskazini mbona siioni, vurugu zake zote zile lakini imezidiwa na korea kusini?
  12. upupu

    Hivi kuna kundi linampenda huyu mtukufu?

    Mi nampenda
  13. upupu

    Bodi ya Mikopo kufanya msako nchi nzima kwa waajiri sugu wasiowasilisha makato na majina ya wadaiwa

    wakati wa kukopesha ilikuwa mpaka wanafunzi waandamane, saivi sasa zamu yao kuandamana.
  14. upupu

    Kwanini wanaacha blank page kwenye baadhi ya makala?

    Wakuu, Naomba mnifahamishe, Nimekuwa nikisoma intellectual documents, mara nyingi document inapoanza, page zile za mwanzo mwanzo, utakuta kuna page moja imeachwa blank, na wanaandika kabisa kuwa hiyo page imeachwa hivyo intentionally, Swali, Je ni nini maana ya kuacha hiyo page?
Back
Top Bottom