Search results

  1. tzhello

    Kwa Wanaosoma CPA (T)-FOUNDATION LEVEL

    Habari wadau,nataka kuanza kusoma masomo ili nifanye mitihani ya bodi NBAA kwa kuanza na foundation level. kwa mwenye notes anaweza nisaidia maana nipo mkoani hakuna namna naweza kuhudhuria reviews. Thanks
  2. tzhello

    Nahitaji latop mpya aina ya hp probook 450 g3 i3

    Nahitaji aina ya laptop HP ProBook 450 G3 i3 i3-6thGen 8GB ram 750GB hard disk Iwe mpya kabisa,au kama kuna duka zuli la laptop nielekezwe. Asante.
  3. tzhello

    Naomba Ninja Blaster 2017 cracked

    Habari wadau,naomba mwenye hii software iwe cracked au original anisaidie,asante.
  4. tzhello

    Nataka kulima heka moja ya viazi

    Habari zenu wanajamii,naomba ushauri wenu mimi nina heka mbili ambazo zimepitiwa na maji ya jirani yangu aliyepitisha bomba la maji kati kati ya shamba langu na kufanya hekari moja kuwa chini na nyingine kuwa juu,sasa nataka kufanya kilimo cha umwagiliaji na nilitamani sana kutumia mipira ya...
  5. tzhello

    Naomba kusomewa majibu haya

    Habari zenu madokta,naomba msaada wa kunisomea majibu hayo nimepata kutoka maabara ya lancert,nahisi maumivu japo sio sana napoenda haja ndogo,kuna ndugu kanishauri kufanya culture japo sijapitia kwa daktari naombeni atakayeweza kunitafsiria ntashkuru.asante
  6. tzhello

    Kudownload adobe ideas for android

    Habari wadau, Mada tajwa hapo juu inajieleza, ninashida na hiyo app hapo juu ila nimejaribu njia mbali mbali kudownload nimeshindwa,tafadhali mwenye uwezo wa kunisaidia kwa namna yeyote ile nitashukuru sana, Asante.
  7. tzhello

    adobe photoshop

    Naombeni msaada wenu wanajamvi,nina programu ya adobe photoshop 7 ila sina elimu nayo kwa wenye kunipa mwanga walao kidogo... Natanguliza shukrani, Tz12
  8. tzhello

    Nahitaji Laptop

    Isipungue 40Gb HDD,1Ghz ram,2Ghz speed,battery charge at least 2Hrs cap,isiwe ya wizi.Bajeti 200,000,Thanks.
  9. tzhello

    Connection yenye nguvu

    Waheshimiwa Habari, Mi nina shida kwa wakati huu ambapo nipo wilayani na mpango wa internet ndo uko chini balaa.Nilikuwa naomba kwa yeyote anayefahamu ni kwa njia gani naweza pata huduma ya internet yenye kasi kwa bei nafuu kwa sasa natumia modem za Voda na Airtel ila connection ndo ipo...
  10. tzhello

    Pata pesa online kiulaini!

    Peruzi hapa ujionee IncomePart.com Earn Money by referral links - 1$ per visit
Back
Top Bottom