Editing iliyofanywa kwenye kipindi kilichorushwa na Itv cha mkutano wa Chadema Mwanza ni uhuni umefanyika. Haiwezekani kipindi kizima wameonekans wasemaji tu bila waliohudhuria mkutano kuonyeshwa,hii ni hujuma kwa Chadema na watanzania
Hatimaye imetangazwa rasmi mgombea ubunge jimbo la Segerea ni Julius Mtatiro,rasmi sasa wale wana wa UKAWA tuingie kazini kuhakikisha tunalichukua jimbo mapema sanaa.
Bonna kwa Mtatiro ni mwepesi kama Sufi.
Baraza la wanawake wa CHADEMA chini ya Halima J.Mdee wanafanya kazi kubwa kuhakikisha ushindi wa UKAWA unapatikana na unalindwa. Kwa harakati zinazoendelea mpaka vijijini kuelimisha wanawake CCM this time hawatakuwa mtaji wa CCM. Hongera Mdee na team yako kwa kazi nzuri.
Hii ni baada ya Mkrugenzi wa Ilala kwa maagizo ya Makongoro Mahanga kutaka kubadilisha matokeo ya mtaa wa Migombani Segerea,ambako mgombea wa UKAWA ndiye aliyeshinda kwa kura 547 dhidi ya yule wa ccm aliyepata kura 205. Wanaukawa waliamua kupambana na ufisadi huu hatimaye zoezi lmeahirishwa.
Baada ya utaratibu mpya wa matumizi ya barabara ya Sokoine Drive,tuwaombe wahusika wa barabara,
TANROD na Traffic Police,ufanyike mpango wa haraka kuweka pundamilia eneo linalovuka TRA Mapato
House kuvuka stesheni,kwani magari yanapita kasi,na eneo hili ni watu wengi wanavuka na pundamilia...
Baada ya wale wasaliti wa CHADEMA akina Mtela Mwampamba,Juliana Shonza,Mchange na wengineo
kutimuliwa CDM,wapo waliojiunga na ccm.
Lakini mara baada ya sakata la MM na akina M1 kujitokeza,hawa masalia ambao wapo ccm wamekuwa
karibu na Zito na kumsaidia katika mambo mengi ikiwemo kuandaa...
Bomba kubwa la maji limepasuka maeneo ya Tabata Baracuda na maji yanamwagika kwa wingi mno,kiasi cha kuleta mashaka ya mafuriko kwa wakazi wa maeneo hayo,tafadhali mwenye namba ya watu wa Dawasco asaidie kuwapa taarifa.
Basi la kampuni ya Abood Bus,no T451 AES,linalotoka Morogoro kwenda Dar,dereva wake anaendesha gari vibaya sana,anaovertake ovyoovyo,abiria wamepiga kelele jamaa hata hajali kabisa.eneo lenyewe ni baya alilofika ni kati Chalinze na Mlandizi..
1.Watoto wangu ninasomesha English medium nalipa ada kubwa,hii ni kwa sababu shule
za serikali ni duni'
2.Ninaishi Segerea maeneo ya Mandela,barabara ni mbovu labda kuliko zote hapa mjini,
mvua ikinyesha usiku hatuna uhakika wa kwenda kazini,ikinyesha mchana hatuna uhakika
wa kurudi...
Leo watoto wa kuingia darasa la kwanza walikuwa wanafanya Interview shule ya Msingi Olyipio,
Jinsi umati ulivyokuwa mkubwa,bila shaka ni salaam kwa serikali kuwa bado wanakitu cha kufanya,
bila shaka watanzania wengi wanatamani watoto wao wasome English Medium Schools,lakini tatizo
kubwa...
Kati ya maagizo au amri ambazo zimewahi kutolewa na Waziri mkuu Mh.Pinda ni kusitisha ununuaji wa
magari ya kifahari ya Landcruiser yaani Mashangingi.
Je hili nalo limemshinda waziri mkuu,kwani kwa taarifa za uhakika toka kampuni ya Toyota ni kwamba,
mpaka sasa serikali na sekta zake zote...
Mwanangu yuko darasa la saba anajiandaa kufanya mtihani wa drs la saba,
please naomba ushauri shule nzuri ya Boys ya Private ya kumpeleka,ni mzuri
sana darasani in short ni genius,ila mwanangu ni mpole sana na hapendi mazingira
ya vurugu.Kwa sifa hizi please naomba ushauri wa shule nzuri ya...
Msaada wakuu mama yangu anasumbuliwa sana na pressure na anatumia dawa za
Nifedipine kwa muda sasa,ila bado kuna wakati inapanda.Naomba kujua kama kuna dawa
anaweza kutumia na ugonjwa huu ukaisha.
Hii imetokea jana,ndugu yangu alitoa taarifa polisi kuwa jirani na kwao kuna mhadhara wa dini ya kiislamu na wanakashifu ukristo,wakamuuliza jina akawatajia,baada ya muda alipigiwa simu na OCD wa kituo cha jirani ,na kuulizwa kuna nini akaeleza,then baada ya muda si mrefu akapigiwa simu na...
Aliyekuwa mtangazaji wa Wapo Fm,na Praise Power ,Onesmo Ngusa amefariki usiku
wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mwananyamala.
"Bwana alitoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe"
Souce:Wapo Radio
Zipo taarifa zisizo na chembe ya shaka kuwa mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala,amepewa barua ya kusimamishwa kazi jana.
Ni kutokana na kashfa nyingi na ufisadi mwingi ambao umeendelea ndani ya Manispaa ya Ilala.
Pia amekuwa muda mwingi anakaimu nafasi yake kwa mwanasheria wa manispaa na hii...
Nakumbuka muda si mrefu uliopita Profesa Muhongo alitutangazia watanzania kuwa
hakuna mgao Tanzania,na kuwa mgao ulikuwa unapangwa mezani na watu kwa maslahi
yao.
Kwa sasa sio siri tena kuwa kuna mgao wa umeme,japo haijatangazwa,la kujiuliza ni
hili je Waziri ametuongopea watanzania au...
Nadhani mpaka kufikia leo tarehe 08/01 wengi mmeshatumia ving'amuzi na
tayari mnajua King'amuzi kipi bora,sasa naomba ushuri wenu ninunue King'amuzi
kipi"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.