Umri umeenda na kifo kinanijongea...
popote ulipo Natinde elewa nakufa kwa mawazo kama ulivyonilaani!
Leo ni miaka 30 tokea nilipokutana kwa mara ya mwisho na Natinde maeneo ya Monduli 10/12/1989
Natinde ni binti wa Kimasai nilikutana nae ujanani wakati nilipoenda Arusha/Monduli shughuli...
Ni miaka mingi imepita toka nifanye safari yangu ya mwisho kuja Dar es Salaam, nimeingia wiki iliyopita mambo mengi nimekuta yamebadilika ila lililonishangaza zaidi ni hali ya sasa ya viwanja vya leaders club pale kinondoni mitaa ya Ada estate ambapo pia matamasha mengi makubwa hufanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.