Aliyetolewa macho yawezekana yeye ndiye mkosaji

  1. maswali yangu kwenu mliomhukum huyu mtuhumiwa kabla hata ya hukumu halal ya mahakama
    kwanza niseme kuwa watanzania tuache kufanya mambo kwa mihemuko na kutoa hukum haraka,mimi binafsi sitaamini kama huyu jamaa kaonewa mpaka nijibiwe maswali haya
    1.baada ya kutolewa macho kwann hakwenda kushitaki kama yeye alikuwa na haki mpaka media zimemfata ndo kasema
    2.haiingii akili kusema et watu wote waliokuwapo wakat anatolewa macho hawakuwa na uwezo wa kumsaidia kwa kumkabili scorpion,je kwann hawakumsaidia wala kwenda ku report polisi
    3.je watu wanaomzunguka huyo said mbna hawajotokez kumwongelea kwa mema yoyote na wala kumsitikia,je ni kwakuwa na wao walishamchoka?
    4.jina la scorpion ni kama majina mengne ya kibabe kama warrior nk ambayo vijana hupenda kuyatumia,sasa yy ana uhakika gan kuwa mtuhumiwa ndo scorpion alomtoa macho na kama alikuwa anamfaham kwann hata nduguze hawakwenda kushitaki
    5.kuna shutuma kuwa yy mtendwa alifatwa kwa aman akawa anaulizwa juu ya wizi ulotokea ila ghafla aka-panic na kutoa kisu ila akazidiwa ujanja,je ni kwel na kama kwel kama hakua na hatia kwanin atoe silaha mapema!
    6.kuna sehem nliona mama anasema anataka amtolee jicho lake moja ampe,je kama ana uchungu kiasi hiki kwanini hakuwah kushitak jambo hilo lililo mfika mwanae
Kukosa hakutoi kibali cha kutobolewa macho, kijana wa mbeya ndiye aliyemkosea mwalimu lakini si kibali cha mwalimu kupiga kama mbuzi nafikili Una kosa weredi
 
  1. maswali yangu kwenu mliomhukum huyu mtuhumiwa kabla hata ya hukumu halal ya mahakama
    kwanza niseme kuwa watanzania tuache kufanya mambo kwa mihemuko na kutoa hukum haraka,mimi binafsi sitaamini kama huyu jamaa kaonewa mpaka nijibiwe maswali haya
    1.baada ya kutolewa macho kwann hakwenda kushitaki kama yeye alikuwa na haki mpaka media zimemfata ndo kasema
    2.haiingii akili kusema et watu wote waliokuwapo wakat anatolewa macho hawakuwa na uwezo wa kumsaidia kwa kumkabili scorpion,je kwann hawakumsaidia wala kwenda ku report polisi
    3.je watu wanaomzunguka huyo said mbna hawajotokez kumwongelea kwa mema yoyote na wala kumsitikia,je ni kwakuwa na wao walishamchoka?
    4.jina la scorpion ni kama majina mengne ya kibabe kama warrior nk ambayo vijana hupenda kuyatumia,sasa yy ana uhakika gan kuwa mtuhumiwa ndo scorpion alomtoa macho na kama alikuwa anamfaham kwann hata nduguze hawakwenda kushitaki
    5.kuna shutuma kuwa yy mtendwa alifatwa kwa aman akawa anaulizwa juu ya wizi ulotokea ila ghafla aka-panic na kutoa kisu ila akazidiwa ujanja,je ni kwel na kama kwel kama hakua na hatia kwanin atoe silaha mapema!
    6.kuna sehem nliona mama anasema anataka amtolee jicho lake moja ampe,je kama ana uchungu kiasi hiki kwanini hakuwah kushitak jambo hilo lililo mfika mwanae
Kwa hiyo hata wewe ukikosea/ukiwa na makosa ni halali mtu uliyemkosea akutoe macho kikatili uwe kipofu?....

Vyovyote ilivyokuwa, hakuna mtu mwenye haki ya kumpa upofu mwenzake kikatili eti kwa sababu amekosea/ni mhalifu....

Kama Said alikuwa na makosa, angeepelekwa kwwenye vyombo vya sheria na sio kufanyiwa ukatili huu wa kutobolea macho.....Faanya ujiweke wenye nafasi ya Said (kwamba wewe ndiye SAID na umetobolewa macho na kupata upofu)...
 
Tatizo ni sheria mkononi. Huyo scorpion alitakiwa atoe taarifa polisi kabla hajamtoboa macho Said kwa makosa yoyote aliyokuwa amefanya. Juzi tu Umesikia mwanamme amefungwa maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake. ACHENI KUFURAHIA SHERIA ZA MKONONI.
 
Back
Top Bottom