Habari zenu wakuu wa jukaa,
kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, kwa wale wenye utaalamu na muda wa kutosha ku-design Templates za website, blogger na hata Wordpress na kuziuza au kuzitoa for free ni muda wao sasa, Mjasiriamali Desk inatoa fursa hii kwa wote wanaovutiwa na kutoa ujuzi wao...
Habari wakuu, na wataalamu wa Technologia wa JamiiForums
Napenda kuchukua nafasi kuwataarifu wale watembeleaji na wanachama wa Mjasiriamali Desk kua tumeongeza features mpya ya utumiaji wa mtandao wa Mjasiriamali desk ambayo ni Resources place,
Huduma hii itakuwezesha kupakia & Kupakua...
Habari wana jamii forums,
Napenda kuwataarifu kuwa kwa wale wanaotembelea jukwaa la Mjasiriamali Desk, wanachama/wasio wanachama sasa wanaweza kutembelea jukwa hilo kwa urahisi sana kupitia simu za mkononi, japo tupo kwenye hatua za mwisho kuwezesha rasmi jukwaa hili la masiriamali Desk...
Habari wadau wa Technologia, nauhitaji wa haraka wa motherboard ya laptop
Model: HP Pavilion 13.3" 13-a010dx Intel i3-4030U 1.9GHz Motherboard
Kwa yeyote aliyenayo anicheck kwa mawasiliaono haya: +255685034245
habari za mudaa huu wana tech,
kama mada inavyosema nahitaji developer atakaye develop a native app ya Mjasiriamali Desk Site kwa Android na iOs (Iphone) yenye muonekano na features kama facebook lite?
Welcome Mjasiriamali Desk
This is an excellent resource for connecting with other entrepreneurs or business leaders. Business owners can access information generally about planning, starting, and financing a small business—but you can also find information specifically tailored to sales...
Heshima kwenu wakuu,
Niende kwenye mada, kama kichwa cha mada kinavyosema nahitaji maoni yenu kuhusu website yetu ya Mjasiriamali Desk pamoja na pre-release mobile app ya site amabayo unaweza ku-download kupitia kwenye site!
Pia tunakaribisha wote wenye nia thabiti ya kufanya mabadiliko ya...
Wafanyabiashara wengi wachanga huanza safari yao na ndoto ya kufanya makubwa katika ulimwengu wa biashara. Kuanza biashara na kuendeleza kwa ufanisi ni changamoto kubwa sana. Kunahitajika Mikakati,mipango sahihi kwa biashara hiyo kusimama.
Wakati unafikiri kuanza biashara mpya, daima ni smart...
Habari wadau, nauhitaji wa haraka wa motherboard ya laptop
Model: HP Pavilion 13.3" 13-a010dx Intel i3-4030U 1.9GHz Motherboard
Kwa yeyote aliyenayo anicheck kwa mawasiliaono haya: +255685034245
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.