Search results

  1. A

    Ajali Sengerema

    Kuna habari mbaya imetifikia wana kirumba, kuna jamaa pamoja na familia yake wamepata ajal jana 26/12/2014 eneo la Sengerema wamefariki wote ila mke amepata majeraha. Wa sengerema mtujuze zaid
  2. A

    Leaving certificate

    Husika kichwa cha habari niliomba nafasi za kazi uhamiaji sikuambatanisha leaving certificate ya form 4 ila nilikua na vigezo vyote nilikua na one ya form4 nilikua na upper class ya diploma ya sheria, sikuunganisha cheti kingne cha degree, nasubili pia matokeo yangu law school, sasa Nauliza ni...
  3. A

    Umaarufu wa instagram wa kuchafuana

    Umaarufu wa insta, watu wanapenda umaarufu kupitia kwa kutoa matusi kushadadia ugomvi kuwasimanga wenzao kujiona wao n wasafi kuliko wenzao. Huyu dada ganya1984 ameolewa na mume wa mtu ambae ana watoto wakubwa kumzidi na mtu anamzidi baba yake umri huyu baba ni mmiliki wa shule za thaqafa...
  4. A

    Maziwa ya azam

    Hodi tena jamvini, haya maziwa ya azam mapya ukishayafungua ukiweka kwenye friji yanaganda na huwezi kuyatumia tena. Ni tofauti na daily milk ambayo ata ukifingua ukatia kwenye friji yanabaki kuwa fresh.
  5. A

    Kazi TRA

    Habari wana jamvi kwa tetesi kutoka kwa mtu wa ndani tra kaniambia kua zile nafasi walizotangaza watu wameshaitwa ofsn kutokana na majina yaliokua reserved suala langu ni kwanini walituambia tuombe
  6. A

    System tra

    Nimelipia ushuru wa gari yangu aina ya toyota allex bank ya M BANK tawi la mwanza week iliyopita j4 nilikamtumia agent dar es salam akaenda port wanasema system ya tra iko down iko down kwa zaid ya week mbili kwa sasa wanatudai storage hapo TPA BANDARINI sasa ushuru nimelipa kwa muda shida ni...
  7. A

    Kuna wizi wa kimazingara umeibuka hapa mjini Mwanza

    Jaman kuna wizi wa kimazingara umeibuka hapa mjini mza hasa kwenye mabenki kuna rafiki yangu alitapeliwa milion kumi bank ya Azania tawi la mwaloni mwaka jana November walikuja watu wawili wakiongea lafudh ya kikenya wakamwambia wanachange nzuri ya dola account yao ipo equity bank ambayo iko...
Back
Top Bottom