Jaman kuna wizi wa kimazingara umeibuka hapa mjini mza hasa kwenye mabenki kuna rafiki yangu alitapeliwa milion kumi bank ya Azania tawi la mwaloni mwaka jana November walikuja watu wawili wakiongea lafudh ya kikenya wakamwambia wanachange nzuri ya dola account yao ipo equity bank ambayo iko opposite na Mwanza hotel sijui walifanya mazingara gani wakachukua hela zake wakamwamchia makaratasi.
Jamaaa akawafalitia hakuwapata sasa basi juzi yule jamaa rafiki yangu anamiliki car wash wale jamaa wakaja na gari gx 100 akasustuka walikua wa3 wa2 wakakimbia mmoja akadakwa alipigwa saaaana kumsachi wakamkuta na hirizi wakaona kumpeleka polisi watazingua wakatafta wazee wengne wa kazi kijana ameteswa akakutwa na kitambulishoo kumbe ni mganda wako hapa mza wana njia kama mia za kukutapeli.