Search results

  1. Canop

    Kuitwa kazini Utumishi, Oktoba 2015

    tembelea website yao utayaona, kila la kheri kwa walioitwa!!
  2. Canop

    Tetesi: Walimu wapya walioajiriwa ili hali wana supp.

    Wakuu wa vyuo husika badala ya kutuma majina ya walioclear sup zao mwaka jana wao wakatuma majina ya wenye sup wanaotakiwa kuclear mwaka huu Tamisemi wanashughulikia hilo (hadi tarehe 15/5)....nimepenyezewa taarifa na mhanga mwenzangu aliyeenda tamisemi leo!
  3. Canop

    Kweli tumelikoroga WAHANDISI-SUA (SUA-COE)

    Hatujui cha kufanya...ni baada ya kutaka kugomo kuingia madarasani kwa sababu ya ukosefu wa bumu, tumeshindwa kufikia hatima yetu ya kugoma baada ya kutishiwa na mkuu wetu wa idara pamoja na waalimu eti itatugharimu kama tukigoma....pia kutokuwa na umoja baina yetu pia kumefelish jitihada zetu...
  4. Canop

    Niambie chochote cha kunijenga.

    Nawapenda wana MMU wote na zawadi yangu ya usiku wa leo kwenu ni maneno toka vitabu vitakatifu vya Mungu: 1. Biblia-Zaburi 130 2. Quran- Suratul A'LAA 87 Kwa sehemu yako soma kabla ya kulala!
  5. Canop

    Kwa staili hii kina dada mnatupa wakati mgumu sana (baadhi)

    Nilikuwa na mpenzi wangu nilimpenda Mungu angependa nilipanga kumuoa, mweza wa 7/2013 alikuja chuon kwangu tukakubaliana kuwa mwezi wa 12/2013 tungeenda kwetu kutambulishana ,alipotoka chuon kwangu alielekea Ruvuma kumsalimu mdogo wake anayefanya kazi huko (hana ndugu wengine zaidi ya huyo...
  6. Canop

    Best wishes to all university students in your UE esp. SUA.

    All the best to all university students who have started their UE and to SUA students who are going to start tommorow, may almighty GOD be with you to the end.
  7. Canop

    nimewamis sana wana jf hasa wana mmu

    Kitambo kimepita sijafungua page ya MMU, nilibanwa sana na majukumu wapendwa ila kwa sasa yamepungua ntakuwa angalau siruhusu siku ipite bila kufungua na ku-comment ktk page hii. Jioni njema na usiku mwema wapendwaaaa................!!!!!!!!!!!!
  8. Canop

    Tumkumbuke MUNGU wetu.....!

    Naomba kabla ya kulala kama bado hujalala usome maandiko ya mwenyezi MUNGU. kama muislamu soma Quran na mkristo biblia japo aya moja tu hakika itakuwa kheri kwetu. kwa wakristo tusome zaburi 27:1-3. "Jesus for life"
  9. Canop

    kama uko free mida hii.....tuchati

    sina ucngiz kama vp leta stori mwana mmu
  10. Canop

    Majonzi kwa chuo kikuu cha sokoine morogoro....!!

    Tumeondokewa na mhandisi mtarajiwa wa mwaka wa pili (Thobias Paul) jana usiku ktk hospitali ya mkoa wa morogoro na mwili wake kusafirishwa leo kwenda Arusha kwa mazishi baada ya kuagwa na wanafunzi, utawala na wafanyakazi wote wa SUA siku ya leo jioni. tulimpenda sana ila shukrani ni kwa muumba...
  11. Canop

    hi to all jf members....!

    It's my hope that you are all okey, just to inform you that we w'l be 2gether as i step pace by pace into jf sections as a new member......! "pslam 27:1-3" all the best to all jf members.
  12. Canop

    Hodi mpaka ndani...! wenyewe mupo....?

    it is my first time to browse and share ideas with jf members esp. MMU's members, plz say welcome to me i have alot to share with u....!
Back
Top Bottom