SoC03 Threads

  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Kwa miaka mingi sasa sekta ya afya, masuala ya usimamizi wa fedha na kihasibu, manunuzi na mengineyo yamekuwa yakisimamiwa wa wahasibu ambao niwa kawaida kwa ajili ya biashara za...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Upvote 9
  • Suggestion Suggestion
Moja, kuanzisha somo mahsusi la katiba na sheria kuanzia shule ya msingi na ngazi ya sekondari. Mabadiliko haya katika mtaala wa elimu yatachochea watu kujua sheria na umuhimu wa kuzitii na...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Uharibifu Wa Taifa Huanzia Nyumbani Kwa Watu Wake Mwandishi: MwlRCT UTANGULIZI Je, unajua jinsi msemo wa wahenga “uharibifu wa taifa huanzia nyumbani kwa watu wake” unavyoakisi hali ya sasa ya...
1 Reactions
0 Replies
396 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Haujambo mwafrika, haujambo mtanzania? Katika jukwaa la stori za mabadiliko, ninayo furaha kubwa kuwasalimu kwa jina la mtanzania na muwe na amani hata milele Amina. Niko na wazo langu, ambalo...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kwenye nchi Kuna baadhi sekta inatakiwa zibadilike kimuundo na uendeshaji, na viongozi wetu hususani watunga sheria hawako tayari kuunda mifumo inayochochea uwajibikaji (viongozi wengine siyo...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Mahojiano ya ajira (Interviews) ni mchakato wa kawaida katika upatikanaji wa ajira ambapo waajiri hutathmini uwezo na sifa za waombaji kupitia mifumo mbalimbali ikiwemo upimaji wa maarifa kupitia...
1 Reactions
12 Replies
682 Views
Upvote 13
  • Suggestion Suggestion
Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanahitaji mambo muhimu kama ifuatavyo: Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi bora. Utawala bora na uwajibikaji vipo ndani ya siasa safi na uongozi bora...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Upvote 17
  • Suggestion Suggestion
Tanzania ni nchi ambayo imebarikiwa vyanzo vingi vya maji na ardhi kubwa na yenye rutuba Kutokana na ufinyu wa ajira juu ya vijana wetu waliomaliza vyuo na kubaki majumbani wakisubiri ajira...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Tanzania, nchi nzuri iliyoko Afrika Mashariki, inasifika kwa wanyamapori wa aina mbalimbali na maajabu ya asili. Hata hivyo, licha ya utajiri wake wa asili, Tanzania inakabiliwa na changamoto...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi: Mbinu za usafi wa mazingira zisizo na vumbi zina jukumu muhimu katika kuhakikisha afya ya umma na kuunda mazingira safi. Katika miji kama Dar es Salaam, ambapo ukuaji wa haraka wa miji...
0 Reactions
0 Replies
415 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi: Rais Julius Nyerere, ambaye mara nyingi anaitwa Baba wa Taifa la Tanzania, aliacha alama isiyofutika katika utawala wa nchi wakati wa uongozi wake. Uongozi wake ulijikita katika...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Waalimu Forum (Agosti 25, 2021), inaeleza maana ya Ushoga na Usagaji: Ushoga ni nini? Kwa muktadha huu, ina maana tofauti na ile ya Urafiki (hasa kwa wanawake), ni ile hali ya...
7 Reactions
5 Replies
2K Views
Upvote 8
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi: Siasa, utawala, na uwajibikaji ni vipengele muhimu vya taifa lolote, vinavyocheza jukumu muhimu katika kuunda uhusiano wake wa kidiplomasia na nchi nyingine. Katika muktadha wa...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
1.Tukumbuke Miaka ya kwanza baada ya uhuru wa Tanganyika chini ya uongozi wa Julius Nyerere yalikuwa na changamoto na mafanikio katika suala la uwajibikaji na utawala bora. Hapa ni muhtasari wa...
2 Reactions
1 Replies
306 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kipindi ambacho watoto wanatoka shuleni wakiwa katika mabasi yao kuelekea nyumbani tunawatengenezea mfumo wa kuwaweka bize kuangalia katuni au sinema zinazowafurahisha wakati huo zinawapa maadili...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Takwimu nyingi sana zimefanyika kuonesha idadi ya wasomi wenye sifa za kupata ajira zimeongezeka kwa kasi kubwa sana mwaka hadi mwaka na hii imepelekea awsomi kuwa wengi sana mitaani huku idadi ya...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Tanzania ni nyumbani kuna baadhi ya bandari za ajabu ambazo zina jukumu muhimu katika uchumi wa nchi. Bandari hizi hutumika kama lango kuu la biashara ya kimataifa, zikitumika kama viingilio vya...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Kutenganisha taka kutarahisisha urejelezaji na ushughulikiaji salama wa taka ili kuokoa mazingira Taka ni tatizo kubwa. kila mwaka kuna kiwango kikubwa cha taka kinaingia katika mazingira. Hali...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Upvote 7
  • Suggestion Suggestion
Tangu kuingia kwa ugonjwa wa ukimwi mwanzoni mwa miaka ya 80 harakati za kupambana na ugonjwa huu ni kubwa na mapambano yanaongezeka kasi kadri miaka inavyoenda. Ukweli ulio mchungu mpaka hii leo...
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Tulipokuwa Tukiwacheka Watoto wa Mitaani, Hatukujua Kuwa Tutakuja Kuwa Wasomi wa Mitaani.. 💫💫💫💫💫 ©️Mwl. Makungu m.s 0743781910 Unaikumbuka ile miaka ya 90 kuja juu kidogo wakati miji...
32 Reactions
74 Replies
6K Views
Upvote 364
Back
Top Bottom