SoC02 Threads

  • Suggestion Suggestion
Uchafu ni kitu chochote ambacho hakina matumizi kwenye mazingira; mfano chupa zilizoishiwa matumizi, karatasi, makapi ya mazao mbalimbali,majani ya matunda, mabaki ya vyakula na vinginevyo. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Sekta ya afya ina mchango mkubwa sana katika maisha ya kila siku kwa kila mmoja katika taifa,hii inapelekea akili yangu kuwaza sekta hii ina uelekeo gani.Je,inaleta anguko ama inaleta maendeleo...
0 Reactions
1 Replies
549 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Hii ni novela inayohusu suala la afya hususan uzingatiaji wa maambukizi ya UKIMWI kijamii. Ni wazi kuwa wadau wanaelewa jinsi ugonjwa huu ulivyoathiri taifa hasa tangu utangazwe kwa mara ya kwanza...
0 Reactions
2 Replies
638 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
sheria kandamizi zinavyo wabana wanafunzi wa vyuo vikuu kujihusisha na masuala ya kisiasa pindi wanapokuwa katika masomo yao Sheria zilipo zinazatoa muongozo kwa wanafunzi kujihusisha na masuala...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Elimu hutumika kumkomboa mtu kifikra, kimwili, kijamii na hata kiroho. Lakini uimara wa namna elimu itolewavyo huweza kumkomboa au kumdidimiza zaidi mtu. Elimu ya Tanzania bado ina mapungufu mengi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 22
  • Suggestion Suggestion
Nadhani wote tunakubaliana kwamba kuna tatizo kubwa sana la ukame na kitu kinachoitwa tabia ya nchi ambayo inapekekea kukosa mvua za kutosha na kusababisha ukosefu wa chakula cha kutosha nchini...
1 Reactions
4 Replies
640 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Nchi yangu ya Tanzania kama inatamani kupiga hatua zaidi kwenye maendeleo ya tekinologia inapaswa kuangalia zaidi swala la elimu inayotolewa na vyuo haswa vya umma. Unakuta mwanafunzi anamaliza...
0 Reactions
2 Replies
845 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
ELIMU YETU! Hivi sasa elimu ni chombo chenye msaada mkubwa sana tofauti kabisa na ilivyochukuliwa hapo mwanzo wakati wa babu zetu kwani kwa baadhi ya watoto na jinsi ya kike ilionekana kuwapatia...
1 Reactions
3 Replies
680 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kuandaa vijana kwa manufaa ya taifa katika nyanja kuu tatu tekinolojia, kilimo na viwanda ili kukuza uchumi wa taifa na raia wake. Hoja kuu, kutokana na ongezeko la watanzania wengi wanaomaliza...
0 Reactions
2 Replies
705 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Na Malenja jr Ninapotaka kufanya jambo kubwa kwa nchi huwa nawasikiliza wanaopinga uamzi wangu, najibizana nao kwa hoja, nikiona hoja zao zina nguvu kuliko zangu naacha niliyokuwa nayo natekeleza...
1 Reactions
4 Replies
769 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Kizazi cha sasa hasa kwa vijana (wasichana kwa wavulana) asilimia kubwa wamekuwa wakijikita katika michezo ya kubahatisha (betting) kama njia ya kujipatia kipato ya haraka, Picha: Watanzania...
3 Reactions
2 Replies
855 Views
Upvote 5
  • Suggestion Suggestion
Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Habari za wakati huu ewe msomaji wa makala hii, nipende kukushukuru kwanza kwa kutenga muda wako kwaajili ya kutengeneza maarifa mapya kutoka katika ujumbe huu uliojaa madini na ninaamini...
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
UKOMBOZI WA WATOTO NA VIJANA KUTOKA KWENYE WIMBI LA MATUMIZI YA VILEO NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI TANZANIA. Nchi yetu ya Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo vijana wake wengi kila kukicha...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
"Unajua ni hatari sana sisi kuwa wakweli?" "Kwa kazi zetu hizi lazima tuwe waongo waongo ndio tueleweke unajua..." "Lakini mbona wa kule magharibi sio waongo waongo? na mbona wakiahidi...
0 Reactions
0 Replies
385 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Ajira: Ni kazi yoyote ambayo mtu anafanya kwa malipo katika kampuni, ofisi za serikali au kwa mtu mwingine binafsi. KUJIAJIRI: ni ile hali ya kutegemea ajira Binafsi kuliko kutegemea kupewa Ajira...
0 Reactions
2 Replies
696 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kwa wingi wa changamoto hizo na kuendelea kukua kwa kasi kwa hizo changamoto bila shaka lazima kutakuwa na sehemu moja ambayo ndio mzizi mkuu wa matatizo mengine yote. Kuna usemi usemao, “Kama...
0 Reactions
0 Replies
459 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
AJIRA NA VIJANA BAADA YA ELIMU Vijana ni kundi linalochangia maendeleo ya uchumi katikataifa. Yapo makundi mbalimbali ya vijana katika taifa letu ilanitayagawanya katika makundi matatu. Kundi la...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
DIBAJI Shughuli za binadamu zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku kulingana na mahitaji ya mwanadamu kuongezeka , hali hiyo kwa namna moja ama nyingine imekuwa ikisababisha ama kupelekea uharibifu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
DIBAJI Katika dunia ya leo ambayo muingiliano wa shughuli za kilimo na maisha ya binadamu vinaongeza utegemeano ongezeko la magonjwa sugu linaongezeka siku hadi siku kutokana na hali kwamba ...
1 Reactions
1 Replies
687 Views
Upvote 4
Back
Top Bottom