Wakuu
Nimeona hii video ikimuonesha Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ambaye pia ni mgombea wa wa Urais kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Janury 2026.
Tumia nyenzo za kidigitali kubaini eneo halisi iliporekodiwa video hii. Je, ni kweli imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya kama ilivyodaiwa na mtumiaji mmoja wamtandao wa Instagram? anasema "Leo Mapema...
Sasa ni mwendo wa kuwekana vikwazo.
Walivyoona CHADEMA inafanyiwa figusi walijua itakuwa kwa CHADEMA.
Unaambiwa watu wanataka kutoroka kabisa kama ana kamatwa fulani na kuwekwa ndani itakuwa...
Wakuu
Nimekutana na hii baua ikionesha kuwazua watumishi wa serikali wasijihusishe na post za wanasiasa kama vile Sativa, Mange Kimambi na Maia Sarungi. Je una uhalali kiasi gani?
Kumekuwepo Na Taarifa Ambayo Imechapishwa Kwenda mtandao wa Facebook Ikieleza kuwa Bangi Ekari 10 zimepatikana Katika Shamba la Askofu Emmaüs Bandikile..je Taarifa Hiyo Ina Ukweli Kiasi Gani.
Kuna huu uzi nimukutana nao umenikumbusha nilikua mdogo nilikua naambiwa sana stori za uwezo wa Kondoo kupambana na Radi,
Hapa stephot kwenye uzi wake alisema "kuna kipindi nilipokuwa likizo...
Kwa kufuatilia press za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche sijapata kusikia hii taarifa ya Heche kukiri kuwa kuna baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanhusika...
LEMA, SUGU WAMPONGEZA DKT. SAMIA KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA UVUNJIFU WA AMANI
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.