KERO Threads

Abiria wanalalamika chenji hamrudishi kwa visingizio hamna chenji. Abiria ukitoa 1000 chenji 250 unaambiwa simama pembeni subiri chenji kama una haraka unamwachia chenji. Hii hajakaa sawa kabisa...
1 Reactions
8 Replies
513 Views
Anonymous
KERO 
Habari . Nianze kwa kusikitika kwa ukatili unaoendelea kwa wakazi wa Makabe (Makabe secondary)wanaohudumiwa na ofisi ya DAWASA Makongo Juu. Tuna mwezi sasa maji hatuna na wala hakuna sababu...
2 Reactions
2 Replies
439 Views
Anonymous
KERO 
Sisi wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali? Maji shida, barabara shida ni kama kuna juhudi za makusudi kabisa tukose huduma hizi. Pia, soma: √ - Dar: DAWASA yakutana na wananchi wa...
1 Reactions
3 Replies
362 Views
Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu kama ujumbe unavyosomeka hapo juu. Niliweka vyeti original kwenye academic qualification na nikawa naomba kazi bila shida na kuitwa kwenye interview bila shida yoyote. Ilifika kipindi...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Ujenzi wa Mradi wa SGR hapa Mwanza ambao kwa muda mrefu umekuwa hauna mwendelezo umesababisha kero ya foleni hasa katika Barabara ya magari eneo la Mswahili Mkoani Mwanza. Kero hiyo ipo zaidi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Inakuaje mtu hupatiwi ticket ? wanapita na machine kwenye magari wanakatisha parking lakini hawaweki karatasi kumjulisha mwenye gari kua amekatiwa Parking. Hii inasabaabisha madeni makubwa ambayo...
1 Reactions
4 Replies
388 Views
Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako...
1 Reactions
1 Replies
500 Views
📖Mhadhara (71)✍️ Mbeya ni mkoa ambao unakabiriwa na matukio ya ajali za mara kwa mara. Maeneo ambayo ajali hutokea sana ni; 1. Mlima nyoka, 2. Mteremko wa Simike (Nzovwe), na 3. Mlima wa Mbalizi...
0 Reactions
3 Replies
559 Views
SERIKALI LIPENI FEDHA YA NAULI YA LIKIZO YA DECEMBER 2024 WALIMU WA SEKONDARI MISUNGWI. Hili ni jambo lisilokubalika hata kidogo, kwamba serikali ileile iwalipe ontime walimu wa shule za msingi...
0 Reactions
2 Replies
501 Views
Leo naleta kilio ambacho ni kero chetu wananchi tunaoishi Mapinga na maeneo yote yanayopakana na barabara ya Bagamoyo. Kilio hiki kinahusu nauli za usafiri wa bajaji kwani madereva/wamiliki wa...
2 Reactions
10 Replies
714 Views
Anonymous
KERO 
Habari, Napenda kukuandikia ujumbe huu kuomba msaada wa kutupazia sauti. Kampuni ya Betika inayoendesha michezo ya betting imeshikilia pesa za wataja wao. Pesa hizo zinahusisha miamala ya...
1 Reactions
5 Replies
608 Views
Umeme umekuwa kero kubwa wilayani Tunduru, licha ya kukatika lila mara lakini hii imekuwa too much tangu umekatika jana tarehe 1 saa 2 usiku umeme haujarudi mpaka sasa ninapoandika tarehe 2 saa...
0 Reactions
6 Replies
443 Views
Sioni sababu na nashangaa kwanini UTUMISHI wamekimbilia kutumia ESS na huku ukweli haufanyi kazi, unaingia Online wanakwambia wanashidnwa ku-retrieve taarifa zako, unaomba uhamisho, unajaza kila...
16 Reactions
168 Replies
15K Views
Hali ya vyoo vya stendi ya mabasi ya Bweri katika Halmashauri ya Manispaa ya Musoma ni ya kutisha. Vyoo hivyo ni vichafu, vimejaa, na masinki yameharibika, huku kukiwa hakuna maji kabisa. Pamoja...
0 Reactions
2 Replies
413 Views
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe. Imefika pahala kila kona...
13 Reactions
112 Replies
5K Views
Anonymous
KERO 
Tangu Novemba 2024 nimekuwa niliwasiliana na HRS wahuishe na kubadili TAREHE za likizo, mwezi Novemba ukaisha, Disemba umeisha mpaka sasa Januari kila siku nitabadilisha nitabadilisha . Wadau...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry...
7 Reactions
18 Replies
915 Views
Nimebahatika kufika Kigoma siku tatu zilizopita. Nimeshindwa kuvumilia kituko cha barabara kutoka Gungu kwenda mpaka njia panda ya Kigoma mjini na Ujiji. Lakini pia Kituko cha barabara ya Kigoma...
2 Reactions
16 Replies
926 Views
Tamesa tafadhari waangalieni wakazi wa kigamboni Kwa jicho la huruma, Nao pia ni watanzania. Kivuko kinakaa upande mmoja 1hour? Tumeingia kwenye kivuko saa sita Kamili mpaka saa saba kivuko...
3 Reactions
5 Replies
481 Views
Back
Top Bottom