KERO Threads

Hivi ni nani alitoa wazo la kupafanya Stendi ya Daladala ya Kabwe kila ikifika jioni kupageuza Soko? Moja hili eneo ni chafu kupita maelezo na Wafanyabiashara wamejianzishia Dampo hapohapo...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Shule za serikali zimefungwa tangu mwishoni wa wiki iliyopita tarehe 31/5/2024. Waalimu tulijaza Ankara za fedha za nauli ya likizo hii mapema sana na kuziwasilisha kwa wahusika ofisi Halmashauri...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Waungwana hivi ni viwanja vyote ambavyo vina changamoto ya vyoo au ni Sokoine Stadium tu hapa Mbeya. Maana huu uwanja vyoo vyake ni changamoto kubwa, ni vichafu balaa na hakuna maji kabisa...
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Hapa beach kuna choo kimoja cha serikali huwezi amini umati huu wa watu eti maji yanatoka kwa shida. Bado mhudumu anashindwa kuhimili uwingi wa wateja wanao kuja kupata huduma,hakuna risiti...
1 Reactions
2 Replies
410 Views
Anonymous
KERO 
Hii changamoto imetokea tangu mwaka 2022 ikatulazimu tuendelee kusubiri maana bado tulikuwa tunasoma , hivyo hela iliyokuwa imezidi ikawa inatumika kwa michango mingine kama direct cost na...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Wakati unataka kuunganishiwa huduma ya umeme kama nyumba iko mbali kila nguzo moja ni sh. 515,000/, nguzo ni mali ya shirika, mwananchi ni mteja wa huduma ya umeme kwanini alipie nguzo? Huu ni...
30 Reactions
84 Replies
5K Views
Anonymous
KERO 
Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa Wananchi wanapambana kujenga na...
0 Reactions
0 Replies
371 Views
Anonymous
KERO 
Kwa takribani miezi mitano, Mzabuni aliyechukua tenda ya Ukusanyaji taka katika Mitaa ya Chanika ya Gogo, Bondeni na Polisi wameshindwa jukumu hilo, hakuna taarifa rasmi au maelezo kutoka Serikali...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Kwa kweli hii namba ni kero sana., unapiga dakika za kutosha(kumi na zaid), unakata kisha unapiga tena simu haipokelewi. Badala yake, unaambiwa uendelee kusubir mpaka unaamua kuacha /kukata...
3 Reactions
11 Replies
875 Views
Ni zaidi ya wiki sasa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport air condition hazifanyi kazi, hasa kipindi hiki cha joto kali Dar es Salaam, hivi wahusika wanafikiria...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari za jioni ndugu, Kwa sasa maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam hasa maeneo ya Manzese napoishi kumekuwa na kero kubwa ya maji na maji yanaweza kutoka lisaa limoja tena mara moja kwa mwezi...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Jana nilikuwa na safari ya kwenda Shinyanga kutokea Mwanza. Niliyoyaona njiani wananchi wakiteseka kutafuta maji kweli inasikitisha sana huku tukiwa na Ziwa Victoria kwenye ukanda wa Ziwa...
3 Reactions
1 Replies
297 Views
Tafadhali sana naomba mrekebishe hicho choo. Ni aibu sana kuwa ja choo kama hicho. Nilijuta kuingia aisee. Ni choo cha shimo na mmeweka sink. Sink limevunjika na choo ni kimejaa so mzigo wote...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Zemanda
KERO Responded 
Tokea juzi ninapata shida kupata access ya kuingia inanigomea si kwa simu wala computer. Shida ni nini? Pia soma...
0 Reactions
3 Replies
864 Views
Anonymous
KERO 
Kumekuwa na tatizo la wakurugenzi na wakuu wa idara Mkoa wa Morogoro hasa Manispaa ya Morogoro kuwazungusha Watumishi hela zao za nauli wakati wa kwenda likizo. Hili ni tatizo limekuwa...
2 Reactions
4 Replies
610 Views
Anonymous
KERO 
Mimi nina kero moja hawa wahudumu wa mabasi ya mwendokasi wanatoza nauli zaidi tofauti na utaratibu wa nauli zilizowekwa kwa kisinginzio cha kukosa chenji. Kwa mfano nauli ya kutoka Mbezi kwenda...
1 Reactions
8 Replies
734 Views
Baada ya stendi ya Buzuruga Mwanza kuhamishwa Na kuelekezwa Maeneo ya Nyamhongoro jijini Mwanza stendi hiyo ilibaki kama matumizi ya magari madogo bajaji pamoja na Dala dala katika jiji hilo...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Mimi ni abiria ambaye natumia huduma ya Mwendokasi karibia kila siku hasa Kituo cha Kivukoni lakini kuna kero ambayo naona siwezi kuendelea kuifumbia macho. Katika Kituo hicho huduma ya choo cha...
2 Reactions
7 Replies
588 Views
Idimi
KERO Responded 
Kituo cha mabasi cha Mpemba, kilichopo nje kidogo ya mji wa Tunduma mkoani Songwe kina vyoo vibovu na vinatia kinyaa na aibu. Kati ya vyoo vya haja ndogo 10, vitatu tu ndivyo vizima, vingine...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Nimeenda mara kadhaa kwenye haya matawi mawili ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga & Mloganzila), chanjo ya Tetanus haipo kwa zaidi ya mwaka sasa. Mara ya kwanza nilienda Upanga kama miezi 8...
1 Reactions
4 Replies
512 Views
Back
Top Bottom