KERO Threads

Anonymous (e941)
KERO 
Wananchi wa maeneo ya Mwakaleli halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya kwa miaka mingi tumeahidiwa kujengewa barabara kwa kiwango cha lami lakini haitekelezwi. Ujenzi wa Barabara...
0 Reactions
4 Replies
450 Views
Anonymous
KERO 
TANESCO Wilaya Bariadi Simiyu wanatukosea sana, umeme unakatika katika mara kwa mara. Kwa saa unakatika si chini ya mara 5. Tunahofia vifaa vyetu vya umeme na nyumba zetu watatuunguzia. Waseme...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Habari wadau kuna tabia imezuka hapa jijini Dodoma inapofika usiku polisi wanapaki gari kwenye barabara za mtaani wanaanza kukamata bodaboda na kuwachukulia ……. Inafikia hatua tunakosa huduma za...
0 Reactions
2 Replies
315 Views
Anonymous
KERO 
Hello habari! Changamoto yangu naielekeza hasa kwa mabasi ya mikoani yatokayo Mkoa wa Kagera - Karagwe kwenda DSM au mikoa mingine wamezidi kujipangia nauli kipindi hiki mpaka kutoza nauli ya Sh...
2 Reactions
3 Replies
669 Views
Ukitoka mizani ya Tinde kabla ya kufika Nzega hapo katikati kuna kipande kikubwa cha barabara kimeharibika na kutengeneza mashimo makubwa sana kwenye lami. Hii ni hatari kwa watumiaji wa barabara...
1 Reactions
5 Replies
467 Views
Anonymous
KERO Responded 
Naomba kutoa kero yangu juu ya adha kubwa ya maji eneo la Nyegezi na viunga vyake! Kimekuwa na kero kubwa sana ya maji Nyegezi kiasi kwamba tunajiuliza watendaji wa Idara ya Maji eneo la Nyegezi...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Huku kwetu katika mitaa ya Manispaa ya Songea kuna wimbi la wizi wa Mita za Maji na kila aliyeibiwa anatakiwa kulipia Sh elfu 45 ili aweze kufungiwa mita nyingine. Tunajiuliza huu ni mchezo ambao...
1 Reactions
4 Replies
759 Views
Anonymous
KERO 
Eneo Mbutu limekuwa sehemu kuu ya kuchimbwa vifusi kwa ajili ya ujenzi mbalimbali. Hatari kuu kwa watumiaji wa barabara ni haya malori kujaza vifusi kupita kiasi kinachotakiwa na hakuna hatua...
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Anonymous
KERO 
Jamani, Hivi suala la kujengea Wanafunzi vyoo ni la wakina nani? Maana kuna shule moja Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera inaitwa "Mugana A" kwakweli hali sio nzuri. Vijana hawana vyoo salama...
1 Reactions
0 Replies
238 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mdau niliyesoma Chuo Kikuu cha ZANZIBAR Tunguu Mkoa wa Kusini Zanzibar, nalalamikia kwamba katika kipindi hichi Wanafunzi tuliomaliza Mwaka 2024 - 2025 katika kozi tofauti chuoni hapo...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Anonymous
KERO 
Yaani kwa mwezi tunaweza kupata maji mara moja, na maji yenyewe yatatoka masaa mawili au chini ya hapo, na pressure inakuwa ndogo sana. Ukiwauliza watu wa DAWASA hawana majibu ya kueleweka...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Anonymous
KERO 
Hii changamoto tulisha itolea taarifa kwa Viongozi wetu wa Serikali za Mtaa lakini hakuna mabadiliko yoyote, barabara hiyo iliyoharibiwa na mvua kubwa ya mwaka Jana (2024) na vipindi vingine tena...
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Anonymous
KERO 
Nazidi kuomba JamiiForums itusaidie kupaza sauti hii ni zaidi ya mara ya tatu naandika hapa. Kutoka Nyahigi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza tunateseka maji yanatoka kwa week mara moja ambayo ni...
1 Reactions
2 Replies
259 Views
Mheshimiwa mkuu wa mkoa, sisi wakazi wa Kiseriani hasa maeneo ya Kilimani tuliungiwa maji mwezi wa tatu mwaka huu. Ajabu maji yanatoka mara moja kwa wiki tena usiku. Hatuelewi kisa cha kuungiwa...
1 Reactions
4 Replies
454 Views
Anonymous
KERO 
Licha ya Waziri Aweso kusema maji yawepo weekends, huku Morogoro hawafanyi hivyo. Mtaa wa Mfuruni kwa mama Milinga tunapewa maji siku Moja kwa wiki ambayo ni ijumaa tu tena masaa mawili au chini...
1 Reactions
3 Replies
316 Views
Nyakijooga
KERO Responded 
Wiki mbili zilizopita kulitokea changamoto ya bomba la maji kupasuka maeneo ya Maili Moja – Kibaha, hali hiyo ikasababisha maeneo mengi kukosa maji, tuliporipoti DAWASA – Kibaha kila siku wakawa...
0 Reactions
5 Replies
672 Views
Miezi minne iliyopita Mkandarasi mzawa alipewa kazi na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutengeneza barabara ya takribani kilomita tatu kutoka Kimara baruti hadi Kilungule uwanjani...
0 Reactions
3 Replies
721 Views
Ndugu Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani hapa Tabora, Mh Magayane sisi wakazi wa hapa tunakuomba udhibiti suala la msongamano wa magari eneo la Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Anonymous
KERO 
Habari, Kuna kampuni inaitwa Pent Optimism iko Dar es Salaam inafanya partnership na Vodacom, inaajiri vijana kwa mkataba ila wanashikilia vyeti vyao vya kitaaluma. Je, iko Sawa? Ni sheria gani...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Mwanongwa
KERO Responded 
Hili Jiji la Mbeya sasa kila kona ya Mtaa limegeuka kuwa kama Dampo maana siyo kwa kutapakaa kwa takataka kiasi kingi, licha ya kutokea kwa ugonjwa wa Kipindupindu katika baadhi ya kata hivi...
1 Reactions
9 Replies
841 Views
Back
Top Bottom