KERO Threads

Anonymous
KERO 
Wilaya ya Mbarali inasikitisha kuona barabara ina zaidi ya miezi nane hadi kumi, ikiwa imewekwa vifusi na havijasambazwa kwa kipindi cha muda mrefu. Ni kama imetelekezwa pasipo kuendelezwa ujenzi...
0 Reactions
3 Replies
370 Views
Habari wana JF, Naomba mamlaka za RITA makao makuu zifanye uchunguzi wa kiutendaji katika taking la RITA MISUNGWI Kwanza, Kuna mtu alienda kufanya marekebisho ya cheti Old to New wakamwambia ni...
5 Reactions
8 Replies
996 Views
Siku ya ya leo tangia asubuhi hatuna umeme huku Arumeru mkoani Arsha, tatizo ni nini? Mbona hakuna hata taarifa, sasa leo tutakula wapi, kula yetu ni umeme. Tafadhali turudishie umeme.
0 Reactions
1 Replies
347 Views
Swala la follen katika Daraja la Mabitini Mwanza limekuwa kikwakwazo Cha kuchelewesha watu katika shughilii zao mbali mbali maana inachukua masala matatu KUTOKA kisesa, BUSWELU, ilalila , Kishiri...
2 Reactions
6 Replies
655 Views
Customer Care ya Tanesco ni Geresha! Mwanzo ilikuwa mtu unapiga simu kwenda kwenye tawi la mtaa uliopo kisha mafundi wanakuja kurekebisha tatizo, Walipoona wanasumbuliwa sana ndipo wakaamua kuweka...
1 Reactions
1 Replies
543 Views
Anonymous
KERO 
Mke wangu ni mjamzito, nilienda nae Zahanati ya Kata ya Ihumwa (Zahanati ya Ihumwa) iliyopo Dodoma Mjini kwa ajili ya clinic ya kawaida. Wakasema kuwa ili upimwe Malaria unapaswa ulipie gharama...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Anonymous
KERO 
Habari wana Jamvi. Jana nimekwenda Hospitali ya Saifee, nikamuona daktari ambaye aliniandikia vipimo vya kuchukua maabara.. Nimefika maabara kijana wa laboratory amechoma mkono takribani mara 4...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Anonymous
KERO 
Naomba kuuliza mamlaka husika je hawaioni hii changamoto katika shule hii. tatizo la maji mtaa wa kanindo limekua ni tatizo kubwa ni muda sasa japo kua mradi wa maji uko mtaa jirani wa Sawa. na...
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Nimefika Kituo cha Daladala cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho ambapo pia kuna Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi, nimekuta kuna nyomi la hatari la abiria wakisubiri usafiri wa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wiki ya pili sasa kuna foleni kubwa sana, MWAUWASA mabomba yamepasuka na baadhi ya mitaa maji hakuna. Daraja halina njia ya watembea kwa miguu. Njia za michepuko za Mabatini ni mbovu na zina...
0 Reactions
1 Replies
621 Views
Anonymous
KERO 
Madaktari tarajali katika hospital ya rufaa ya Amana wanafanya kazi kwenye mazingira magumu licha ya uwongozi wa spital kujuwa changamoto zao hasa katika kitengo cha dharura (emergency department)...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau, hivi karibuni nimeshuhudia changamoto kubwa ya fedha za sarafu hasa za Tshs 200, 100 na 50. Biashara nyingi sasa hivi ni ugomvi kutorudishiwa chenji kwasababu ya kutokuwepo na sarafu...
2 Reactions
2 Replies
327 Views
Roving Journalist
KERO Responded 
Wakulima wa zao la tumbaku kutoka Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamika kutolipwa fedha zao hadi hivi sasa licha ya...
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Unapotaka kufanya ukarabati mdogo, Kuna utaratibu wa kupata kibali, ni chanzo Cha mapato Kwa Manispaa. Shida kubwa mwezi Mzima mtu unazungushwa na mlolongo wa sababu zisizo na Mashiko. wakati...
1 Reactions
4 Replies
274 Views
Parabolic
KERO Responded 
Nikiwa katika eneo la Mtemi Beda Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi, nilipokwenda kumjulia hali bibi yangu mzaa baba ambaye ni mgonjwa sana, Nimeona kero ya muda mrefu ya ubovu wa barabara ya Mtaa wa...
0 Reactions
1 Replies
624 Views
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na tatizo la mara mara la kukatika umeme katika maeneo ya Yombo Vituka, jijini Dar Es Salaam. Kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 30 . Umeme ndani...
1 Reactions
8 Replies
534 Views
Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi Beach eneo la Mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza...
11 Reactions
105 Replies
4K Views
Hili sijui ni la Waziri wa Afya ama mazingira ama wote wawili? Kuna uchafuzi mkubwa sana kwenye barabara za Dar es Salaam pamoja na mifereji na mitaro yake unaofanywa na makampuni yaliyopewa...
5 Reactions
9 Replies
727 Views
Torra Siabba
KERO Responded 
Kipindi hiki cha mvua hali sio shwari kwenye baadhi ya Mitaa ya Kariakoo, Watu tupo hatarini kupata magonjwa kutokana na chemba kadhaa kutiririsha maji kwenye maeneo ya karibu na biashara zetu...
0 Reactions
2 Replies
900 Views
KwetuKwanza
KERO Responded 
Walimu Mbeya DC kutoka CWT kuhamia vyama vingine vya Wafanyakazi ni changamoto. Tumejaza fomu za kujitoa wamegoma kabisa, ukienda kufuatilia wanasema huu Mwaka wa uchaguzi hawawezi kututoa, muda...
1 Reactions
1 Replies
963 Views
Back
Top Bottom