Inaonekana kama server za HESLB zimekua compromised kwa sababu kila ukitaka ku log-in kwenye akaunti yako inakataa na nimejaribu kutumia browser tofauti tofauti lakini shida ipo pale pale.
Tena...
Habari za muda huu
Naomba nitoe taarifa kwaa mamlaka husika waweze kutusaidia raia na Wafanyabiashara wa Buguruni , hususani wa kipande kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani kuanzia Mataa, maana...
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana
Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy
Pili muda...
Habari?
Mfumo wa AJIRAPORTAL umenizuia kuomba nafasi nyingi sana za kazi kutokana na mfumo wenyewe kushindwa kutambua namna Programs husika kwenye nafasi husika zinavyokuwa zimeainishwa. Lakini...
Heshima yenu wakuu ,
Rejea kichwa cha habari hapo ,kuna hili jambo limekua sana kwa sasa ,tangu baadhi ya Taasisi kupokea barua ya kufutwa kwa pesa ya likizo maarufu kama mshahara wa 13 kwa mwaka...
Mikopo ya kugharimia Elimu ya Juu imekuwa na mchango mkubwa sana kwa Taifa la Tanzania tangu kuanzishwa kwake. Ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa ya watanzania bado hawawezi kujigharimia...
Kwa zaidi ya miezi mitano sasa wahudumu hawajalipwa posho zao na hawajapewa maelekezo yoyote kutoka wizarani au kwa waratibu wa malaria ngazi ya wilaya ambao ndio wasimamizi wao na wakioji...
Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details.
Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya...
Watu wa kimara wanateseka sana na ni mda mrefu sasa sahivi hata mtu akitaka kuhamia kimara na anafanya kazi posta au kariakoo na hana usafiri bnafsi basi anajifikiria mara kumi kumi sababu ya adha...
Waache kutuma jumbe zao zinazokera kila mara bila ridhaa yetu. Tabia hii inaboa sana. Huduma hizi zipo kwenye mfumo wa ESS sasa kuna haja gani kutuma jumbe zao mara kwa mara au kutembelea kwenye...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) ninaomba wajitathmini wanachotufanyia sio sawa.
Habari naomba niwasilishe changamoto mbili zinazonikabili mpaka muda huu na...
RITA inachelewa kutoa vyeti ya kifo vya wazazi, hii imekuwa changamoto kwa sisi ambao wazazi walipoteza maisha miaka mingi iliyopita, wakati huu tunapohitaji kujiunga na elimu ya juu vyeti hivyo...
Habari yenu Jamii Forums, naona wadau wengi wamekuwa wakisaidika kupitia jukwaa hili, naomba unipazie sauti
Mimi ni muhitimu wa Diploma (ambaye nasubiria kufanya Graduation mwezi December 2024)...
Usafiri wa Mabasi ya Newala, Mtwara ni changamoto sana na ni shida ya mda mrefu sana.
Wafanyabiashara wa mabasi wanafanya biashara kwa kubahatisha; service hazifanyiki vzur na kwa wakati hali...
Mimi ni Mkazi wa Masasi, nilihamia huku miezi kadha iliyopita, moja ya changamoto ambayo niliikuta huku na wenyeji wanadai imekuwepo kwa muda sasa, ni suala la umeme kukatika mara kwa mara.
Huku...
Mimi ni mkazi wa Newala vijijini tumekuwa tukipata changamoto kubwa ya mgao wa umeme huku mamlaka husika zikishindwa kutoa sababu za mgao, kuna nyakati umeme unaweza ukakata hata siku 3 huku...
Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote.
Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na...
Kumekuwa na ongezeko la matukio kadhaa ya wizi na upotevu wa mali za abiria ndani ya mabehewa ya Treni ya SGR (Standard Gauge Railway), hasa katika safari za usiku au kwenye vituo vya kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.