DOKEZO Threads

Nichukue fursa hii kwanza kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kushika nafasi ya Waziri wa Ujenzi. Ni imani yangu kuwa Mhe. Rais kakuamini katika utendaji wako wa kazi na nina imani kuwa utamsaidia...
0 Reactions
9 Replies
770 Views
Wakuu, kwa wakazi wa jiji la Dar tunatumia SOKO la Ilala kujipatia mahitaji yetu pale, ni aibu na udhalilishaji wa binadamu kuona binadamu anaweza kununua kitu cha kwenda kula toka pale. SOKO...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Nimepita leo kwenye soko la vyakula la Ilala Boma maarufu kama Ilala Sokoni, jamani tunalishwa uchafu hili jiji kwanza nashangaa kwa hali hii kama kweli Dar haina wagonjwa wa Kipindupindu. Wauza...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu katika Mkoa wa Simiyu, umeendelea kushika kasi, eneo la Wilaya ya Meatu ndilo limeathirika na linaendelea kuathirika zaidi. Jimbo la Kisesa katika Wilaya hiyo...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO KERO 
Tunaomba mtusaidie kufuatilia na kupaza sauti. Shule ya sekondari Ntare, iliyopo Kyerwa Ina michango mingi sana ya nje ya utaratibu. Mtoto wa kidato cha nne, wanapeleka debe 8 za mahindi, na debe...
0 Reactions
1 Replies
355 Views
Anonymous
DOKEZO 
Serikali na vyombo husika vinapaswa kuliangalia hili tatizo la kukwama kwa maombi ya passport/hati za kusafiria ni mwaka sasa wananchi hawajapa passport za umeme na server zikidaiwa kuwa ni sababu...
0 Reactions
0 Replies
391 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ifike mahali kama Taifa tusikubali kila kifo kipite hivi hivi au kuacha mambo yaende hivihivi kana kwamba hakuna kilichotokea vile au kusema ni Mapenzi ya Mungu au kuona...
15 Reactions
245 Replies
14K Views
Hili jambo limenikuta maana kuna ndugu yangu amefariki tangu Alhamisi iliyopita, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Wakati Shule zikiwa zinafungwa kwa kumaliza mwaka wa masomo lakini kuna baadhi ya Shule za msingi zinaratibu utaratibu wa Wanafunzi kutokwenda likizo badala yake wanashinikiza kuendelea na masomo...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024 Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007. Mbali na hapo uamuzi wa Hayati...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Likizo inatoa nafasi kwa wanafunzi kupumzika na kujiandaa kwa muhula unaofuata, lakini pia inatoa nafasi kwa wanafunzi kukaa na familia na wazazi wao kwa pamoja. Lakini kuna baadhi ya shule...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna utaratibu mpya wamekuja nao binafsi naona kwa sisi wananchi wengi wa kitanzania 70% ambao tuna uchumi mdogo naona hawatufanyii fair kwa kutokutusikiliza tunakuwa kama tupo ugenini kumbe ni...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Wananchi wa kata ya Osunyai mtaa wa Ngusero wilaya ya Arusha jijini hapa wameungana kwa pamoja na kuchapisha vipeperushi mtaani vinavyoeleza kuchoshwa na uuzwaji wa madawa ya kulevya aina ya...
2 Reactions
3 Replies
498 Views
Picha: Ubungo Manispaa Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya. Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nianze tu kwa kumuomba yyte mwenye uwezo wa kumfikishia Rais Samia hili na amfikishie. Hali ya Muhimbili inasikitisha. Na mkono wake wahitajika. Rais Samia chochote atachofanyia Muhimbili...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
informer 06
DOKEZO Responded 
Kwa siku za hivi karibuni kuliripotiwa tukio la Mwalimu Josehat Masenema wa Shule ya Msingi Waja iliyopo Geita Mjini kudaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake, kutokana na vyanzo mbalimbali suala hilo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilifika katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, nikapata nafasi ya kuzungumza na Wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo hilo. Wanawake hawa, wanaojishughulisha...
1 Reactions
5 Replies
792 Views
try me
DOKEZO Responded 
Imeelezwa Kemikali ya Zebaki inayotumika kukamatisha dhahabu ambapo inaelezwa ni kemikali 10 ambayo Shirika la Afya Duniani (WHO) inasababisha athari za kibinadamu na mazingira. Kemikali ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata...
0 Reactions
0 Replies
606 Views
"AGRICULTURAL SEED AGENCY" Hii taasisi imekuwa na ukiritimba sana kuhusu posho za wafanyakazi, Baadhi ya wafanyakazi huwa wanajigharamia wenyewe kwa safari zinazohusu taasisi wakijua kuwa baada ya...
1 Reactions
5 Replies
599 Views
Back
Top Bottom